Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
WALIOONYESHA UBOVU WA BARABARA NGORONGORO MATATANI…
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo ameagiza polisi kuwasaka na kuwachukulia hatua watu waliotumia Mitandao ya amii kuonesha ubovu wa miundombinu ya barabara ndani ya Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.
RC Gambo amesema kitendo hicho ni sawa na uhujumu uchumi kwani watu hao wangeweza kutumia njia sahihi kuwasilisha taarifa hizo na si kutumia mitandao ya kijamii.