Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimekusikia juzi unasema sema kuhusu katiba mpya nakushauri dada wangu usiingie kwenye huo mtego utajipalia mkaa unaweza ukapokonywa cheo usifike hata hiyo 2025. Nadhani unajua kwa sasa hakuna...
15 Reactions
220 Replies
10K Views
Kuna mgogoro mkubwa sana katika vijiji vivyo viwili ambao ulishapelekea watu zaidi ya 5 kuuwawa. Viongozi wa wilaya ya bunda ambapo Kuna Kijiji Cha mekomariro na viongozi wa wilaya ya Serengeti...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Hapa siongezi Hata nukta jioneeni wenyewe Zitto Kabwe: Kauli ya kwanza "Hii serikali inakopa sana, hawa watu wakipata tena nafasi mpaka 2025 nchi itauzwa." *** Kauli ya pili "Unataka maoni ya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Spika wa bunge mh Job Ndugai leo wakati wa kuahirisha shughuli za Bunge, amewahoji mawaziri ni kwa nini kwa sasa wameamua kufanyia makongamano, warsha na semina nyingi Dar es Salaam na kuacha...
58 Reactions
398 Replies
40K Views
Dkt. Slaa anasema katazo la Magufuli lilikuwa null void ab initio. Yaani ni agizo haramu na halina tofauti na agizo ambalo halikuwepo. Msikilizeni Dr hapa chini.
14 Reactions
213 Replies
13K Views
Nauliza tu kwa sababu niko mitaa ya Kinondoni sijaona barabara ya vumbi Chadema Mmetisha sana Sabato njema!
0 Reactions
9 Replies
616 Views
Ameteuliwa leo na Rais Dkt Samia kuwa mjumbe kwenye Tume ya Maboresho ya Haki Jinai . Tume hiyo inaongozwa na Jaji Mstaafu Othman Chande, wamo pia Eliezer Feleshi na Edward Hosea . Vijana...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Swala la kuwa na bima ya afya ni la msingi sana kwa kila mwananchi. Hata hivyo kwa Tanzania yetu swala la kuwa na kadi ya bima ni moja na swala la kupata huduma kupitia bima hiyo ni lingine...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Mtadanganyana na kudanganyika wenyewe kwa wenyewe! Jiulizeni Mkurugenzi TISS kupelekwa Ikulu, kwa mfumo ule ule wa Lukuvi na Kabudi! Hamjifunzi jambo hapo tu? Pale wanaenda kuwekwa kwenye ulinzi...
69 Reactions
291 Replies
17K Views
Uongozi ni dini na dini ni ibada na dini ni kuungama, kutubu, kuwa msafi, kukataa uwongo na unafiki. Kwa awamu zote za utawala toka uhuru nchi hii haijapata kiongozi , ni ukweli usiopingika...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Naomba nizungumzie kiujumla, licha ya kwamba kati yetu binafsi, wapo ambao wako tofauti na walio wengi. Watanzania wengi ni wajinga [wasiozijua haki zao] na ni waoga sana. Mchanganyiko wa hizo...
38 Reactions
76 Replies
4K Views
Nyumbani Tanzania, malalamiko yamekuwa mengi kuhusiana na kupanda sana kwa bei ya chakula. Wengine wakiilaumu Serikali kuwa haikuchukua jitihada za kutosha ili kuzuia mfumko wa bei ya chakula...
1 Reactions
6 Replies
550 Views
Kama tulivyowaambia jana, Kwamba leo tarehe 5/01/2023, Chadema itakuwa na kikao cha dharula cha Kamati Kuu, kitakachoongozwa na Mwenyekiti Freeman Mbowe. Kama mnavyoona Kikao hicho kizito...
28 Reactions
63 Replies
6K Views
Watu wengi wanakikio cha maji baadhi ya mikoa hasa daresalaam dodoma na shinyanga tatizo ni nini? mbona mvua zinaendelea kunyesha vizuri na je ni kweli ziwa victoria limekumbwa na ukame hadi mkoa...
0 Reactions
3 Replies
533 Views
Mimi ni muumini wa haki . Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki. Jimbo...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe Nini maoni yako? #mtotowaafrika #kazindokazi
4 Reactions
58 Replies
3K Views
Hivi Hawa jamaa wanajielewa kweli? Yaan wamelala kama vile makada. Nakumbuka Zama za Chachage palikua pa Moto kule Mlimani NB: Mikopo, Katiba Mpya zingeshachambuliwa na kutolewa maazimio. Ila Hawa...
4 Reactions
6 Replies
999 Views
Sidhani kama iba pita miezi mwili hujasikia Makamanda hawa wa mikoa wamepanguliwa katika wanacho kiita kufanya Maboresho, yaani wao Definition ya Maboresho kwao ina maanisha kubadili hao makamabda...
1 Reactions
5 Replies
590 Views
Sikilizeni na JPM angewafukuza sasa wanabembelezwa === Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Katavi, awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya...
11 Reactions
55 Replies
5K Views
Wala hakuna tatizo lolote jamani, nimeuliza tu maana kutoka kuwa Mkurugenzi wa TISS hadi kuwa Katibu Mkuu Ikulu, sijajua wapi ni juu? Je, sasa amepandishwa cheo au ameshushwa? Natanguliza shukrani.
17 Reactions
201 Replies
22K Views
Back
Top Bottom