Serikalin tatueni mgogoro wa vijiji vya mekemariro na remong'orori mkoa wa mara. Ulioko eneo la matoha

witzone2

JF-Expert Member
Jan 14, 2022
780
1,633
Kuna mgogoro mkubwa sana katika vijiji vivyo viwili ambao ulishapelekea watu zaidi ya 5 kuuwawa. Viongozi wa wilaya ya bunda ambapo Kuna Kijiji Cha mekomariro na viongozi wa wilaya ya Serengeti kilipo Kijiji Cha remong'orori pamoja na uongozi wa mkoa ndo wanachochea huu mgogoro kwa masilahi yao.

Chanzo Cha mgogoro huu ni wakazi wa Kijiji Cha remong'orori kuvamia na kunyanganya eneo la kulima na kuchunga la Kijiji Cha mekomariro kilichoko bunda. Ukiangalia Raman ya vijiji vile. Serengeti ni wavamiz.

Cha kusikitisha watu wa Kijiji Cha mekomariro ndo wanakamatwa kila siku. Na Leo ninavyoandika hapa wamekamata vijana 6 kutoka majumbani mwao.

Mgogoro huu mkoa unaujua. Hadi ikulu. Kwan kipindi Cha magufuli aliwahi Fanya ziara maeneo hayo. Na akatoa maagizo mgogoro utatuliwe lakini imeshindikana.

Leo Tena waziri wa mifugo amefanya ziara maeneo hayo akiwa na mkuu wa wilaya ya bunda. Lakini bado hawajatoa suluhu ya mgogoro huo. Wanakijiji Cha mekomariro wameambiwa wasitumie eneo Hilo na ni marufuku kuchunga eneo Hilo. Na mkuu wa wilaya kasisitiza hiyo amri. Alipoulizwa mbona Raman haiko hivyo. Na mmeingilia eneo letu wakawa wakali.
 
Back
Top Bottom