Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi karibuni Rais wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi wa juu wa vyama 19 vya siasa vyenye usajili wa kudumu nchini alitangaza rasmi kuliondoa zuio la mikutano...
0 Reactions
3 Replies
644 Views
Ni vema kuiga mambo mazuri kutoka kwa majirani zetu wa Afrika Mashariki. Kenya wanaenda Kuunda Ofisi ya Kiongozi mkuu wa Upinzani ambayo itakuwa ni Taasisi e Serikali na inategemewa Raila Odinga...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Zaidi ya Bilioni 4 Kusambaza Maji Kata za Tegeruka na Mugango - Jimbo la Musoma Vijijini Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi Anthony Sanga ameelekeza ifikapo Februari, 2023 utekelezaji wa mradi...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
1. Hapendi unafiki 2. Ananyoosha maelezo 3. Hapendi uongo uongo 4. Ni mpenda demokrasia 5. Hatumii nguvu kutuongoza 6. Hana jaziba kuliendea jambo 7. Ni msikivu 8. Ni mwanamaendeleo Ulipo tupo...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau, Mkeka wa teuzi zingine huu hapa na Mstaafu Kafulila amekumbukwa! ===== Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Ellen...
18 Reactions
136 Replies
15K Views
Muungwana yeyote mwenye hati ya muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964 naomba a-share nasi
2 Reactions
12 Replies
928 Views
Mkurugenzi wa Huduma za Mifugo,Herzon Nonga akionesha Vifaranga vya kuku wa mayai vilivyozuiwa kuingia nchini,kutokuwa na vibali na cheti cha afya katika kago ya mizigo ya uwanja wa ndege wa...
18 Reactions
287 Replies
18K Views
Katika ukurasa wake wa Face Book, Julius Mtatiro ambaye alikuwa mwanafunzi wa Prof Mkumbo pale chuo kikuu Dsm ameandika mada kali sana kumhusu Mwl wake huyo na ukigeu geu wake ambayo imechangiwa...
10 Reactions
91 Replies
18K Views
Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi...
5 Reactions
155 Replies
17K Views
Freeman Mbowe ni matunda ya harakati za mapambano dhidi ya dhuluma, uonevu na ukoloni. Amerithi hulka ya mapambano ya kudai haki za wananchi wenzake kwa baba yake Aikaeli Mbowe aliyekuwa mwana...
0 Reactions
2 Replies
491 Views
Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Dar/mikoani. Ni mtifuano majimboni. Hivi ndivyo unavyoweza kuelezea kile kinachotarajiwa kutokea katika majimbo na kata mbalimbali kutokana na ruksa iliyotolewa ya mikutano ya hadhara ya vyama vya...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Hii ndio Taarifa mpya kwa leo iliyosambaa kila mahali , Kwamba Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika na Kikosi chake tayari yuko Kahama kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama hicho kwenye...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
Taarifa yao kwa Umma hii hapa
7 Reactions
42 Replies
2K Views
David Kafulila ameteuliwa Kuwa Kamishna Idara ya Ubia kati ya sekta ya Umma na sekta Binafsi ambayo ni miongoni mwa Idara za Wizara ya Fedha na Mipango. Majukumu ya Idara ya PPP: 1. Kusimamia...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Nashukuru sana Mungu watanzania kupata Rais bora Kama wewe. Kweli wakati wa Mungu ni wakati sahihi. Tunakuombea afya na kila jema katika uongozi wako usio na shaka wala Sonoma. Daima Mungu...
0 Reactions
1 Replies
590 Views
Mie ni Mfuku Nyuku kwelikweli. Hs_no 144 Shrewsbury London,Uingereza
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari, Aisee nimeona tu nimpongeze Dkt. Biteko waziri wa madini, Hakika hu mwaka ameunza vizuri sana. Minada ya Madini ya vito sasa kuanzishwa, kulikuwa na kilio kikubwa sana kwa...
0 Reactions
0 Replies
319 Views
Kwa kweli sielewi kabisa misimamo ya wana-ccm, wakati ule mara tu alipoingia madarakani mwaka 2016, Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli, alipopiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa...
19 Reactions
65 Replies
4K Views
Back
Top Bottom