Naliona anguko la CCM mwaka 2025

Naliona anguko la CCM mwaka 2025

Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe

Nini maoni yako?

#mtotowaafrika
#kazindokazi
kwa hiyo wewe ulitaka makatazo yaendelee na utekaji uendelee? wizi wa kura live live uendelee ili kuilinda CCM ?

Kila jambo lina mwisho wake ndugu, hata Dola ya warumi ilianguka itakuwa CCM sheikh?

Wape wananchi haki zao... katiba iheshimiwe na wote, sheria za nchi ziheshimiwe - ukitekeleza haya basi wewe ni kiongozi bora. Usitawi wa Tanzania kwanza mengine baadaye.
 
Kamanda meli kubwa tutumiayo kusafiria inaelekea kaanani tutakako musa atupeleke Mimi na wewe sote tuuu wana wa Yakobo

Elewa maana yangu
 
Uchaguzi wa '20 ulitoa funzo kwa makada wengi waliokuwa loyal kwa CCM.
Kuelekea '25baadhi watakuwa wakiangalia fursa kupitia upinzani.
Hapa ndio itakuwa ile, asubuhi CCM, jioni upinzani...
Mtu unakuwa na kadi mbili: moja ya CCM, nyingine ya upinzani.
Ukikatwa huku, unagombea kule.
 
Anguko la CCM ambayo imeshajipanga na inaendelea kujipanga Kwa ajili ya ushindi dhidi ya upinzani unaosubiri siku ya ucgazi?
 
Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe

Nini maoni yako?

#mtotowaafrika
#kazindokazi
Tangu 2010, binafsi naamini CCM hawajawahi kushinda uchaguzi ....... wanajitangazia tu matokeo kwa namna wanavyotaka wenyewe.
 
Nikiangalia mwenendo wa nchi na siasa za Tanzania naliona ANGUKO LA CCM 2025 kama wapinzani wakiwa na mkakati kabambe

Nini maoni yako?

#mtotowaafrika
#kazindokazi
Kwa maoni yangu kama Raisi Samia Suluhu Hassani akiwezesha mabadiliko na kuwezesha kupatikana kwa Katiba mwafaka, kuna uwezekano mkubwa mama huyu akapata nafasi tena ya kuliongoza taifa kwa miaka mitano zaidi. Hii itatokea kwa kuwa wananchi watakuwa na imani naye kwamba ameweza kuliepusha taifa na mabaya ambayo yangetokea kwasababu ya wahafidhina. Na ili nchi iwe na mifumo imara sasa na kuendelea mama Samia atakuwa mtu muhimu sana katika kuiunda na kuiimarisha mifumo mipya mizuri aliyoianzisha.
 
Uchaguzi wa '20 ulitoa funzo kwa makada wengi waliokuwa loyal kwa CCM.
Kuelekea '25baadhi watakuwa wakiangalia fursa kupitia upinzani.
Hapa ndio itakuwa ile, asubuhi CCM, jioni upinzani...
Mtu unakuwa na kadi mbili: moja ya CCM, nyingine ya upinzani.
Ukikatwa huku, unagombea kule.
Huo ni moja ya udhaifu wa upinzani, mnakubalije mtu ambaye jana alikua CCM Leo mnampa kijiti kugombea Urais
 
Back
Top Bottom