Kanali Lubinga: Uchaguzi Mkuu wa CCM Jimbo la Hai haukuwa huru na wa Haki

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,775
21,335
Mimi ni muumini wa haki .
Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki.
Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska kupanga safu ya kuelekea 2025.
Pamoja na yote yaliyotokea hatua muhimu na za haraka zinahitajika ikiwa ni pamoja na :
1. Kufutwa kwa uchaguzi huo mkuu
2. Kuondolewa kazini kwa katibu wa ccm wilaya
2. Kuhamishwa kituo cha kazi kstibu wa UWT wilaya hiyo
3. Madiwani wa viti maalum kutokuruhusiwa kugombea tena kwa kusababisha wizi wa kura na vurugu za uchaguzi mkuu
4. Mbunge kupigwa marufuku kujihusisha na shughuli za uchaguzi wa chama wa marudio
5. Katibu wa vijana na wazazibwilaya kupangiwa vituo vingine vya kazi
6. Uongozi wa ccm mkoa kusimsmua zoezi la upigaji kura na shughuli zote za upigaji kura
7. Wagombea walioshinda na kushindwa kwenye uchaguxi huo kuhojiwa na kupata maoni yao.

Mama samia anataka haki itumike kinyume na alichokifanya mbunge wa Hai kubaka uchaguzi mkuu wa chsma na kukivuruga chama.
 
ANAVYOAMURU UTASEMA MWENYEKITI WA CCM NCHI NZIMA HAHAHAHAHAAAAAAHIOO IMEISHAA MKUU WAKUBALI YAISHE AIRUDI TENA HIOO..SHDA MDA
 
KANALI HIIi imeishaaaaaaaaahiooooooooooooooo yaaaani mjipangee kupambana nao 2025 .mda na pesa za marudio tutaenda lipia watoto wa secondary mwakani thx
 
Ngoja nisikilize maombi ya mastaah kmr nijipange safu ya mbinguni hawa wanashindana ya dunia loh
 
Matunda ya UTIIFU WA aliyekuwa KUB inawezekana ni makubaliano awe mbunge.
 
Naona masalia ya sukuma gang yanazidi kusafishwa. Huyu kanali Lubinga alitamba sana ktk chama enzi za Yuda
 
Mimi ni muumini wa haki .
Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki.
Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska kupanga safu ya kuelekea 2025.
Pamoja na yote yaliyotokea hatua muhimu na za haraka zinahitajika ikiwa ni pamoja na :
1. Kufutwa kwa uchaguzi huo mkuu
2. Kuondolewa kazini kwa katibu wa ccm wilaya
2. Kuhamishwa kituo cha kazi kstibu wa UWT wilaya hiyo
3. Madiwani wa viti maalum kutokuruhusiwa kugombea tena kwa kusababisha wizi wa kura na vurugu za uchaguzi mkuu
4. Mbunge kupigwa marufuku kujihusisha na shughuli za uchaguzi wa chama wa marudio
5. Katibu wa vijana na wazazibwilaya kupangiwa vituo vingine vya kazi
6. Uongozi wa ccm mkoa kusimsmua zoezi la upigaji kura na shughuli zote za upigaji kura
7. Wagombea walioshinda na kushindwa kwenye uchaguxi huo kuhojiwa na kupata maoni yao.

Mama samia anataka haki itumike kinyume na alichokifanya mbunge wa Hai kubaka uchaguzi mkuu wa chsma na kukivuruga chama.
Mlidhani Sabaya atadumu milele hapo Hai kuwapangia safu za uongozi na kuongoza wizi wa kura?
 
Kwaiyo Kanali Lubinga anataka kutuambia kuwa shetani(CCM) ameacha dhambi zake zote na kumrudia muumba wake(CCM imeanza kuzingatia sheria).🤣🤣🤣🤣

Mbona hasemi uchaguzi wa Wabunge wa mwaka 2020 urudiwe maana ulikuwa uchafuzi Mkuu.
 
Mimi ni muumini wa haki .
Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki.
Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska kupanga safu ya kuelekea 2025.
Pamoja na yote yaliyotokea hatua muhimu na za haraka zinahitajika ikiwa ni pamoja na :
1. Kufutwa kwa uchaguzi huo mkuu
2. Kuondolewa kazini kwa katibu wa ccm wilaya
2. Kuhamishwa kituo cha kazi kstibu wa UWT wilaya hiyo
3. Madiwani wa viti maalum kutokuruhusiwa kugombea tena kwa kusababisha wizi wa kura na vurugu za uchaguzi mkuu
4. Mbunge kupigwa marufuku kujihusisha na shughuli za uchaguzi wa chama wa marudio
5. Katibu wa vijana na wazazibwilaya kupangiwa vituo vingine vya kazi
6. Uongozi wa ccm mkoa kusimsmua zoezi la upigaji kura na shughuli zote za upigaji kura
7. Wagombea walioshinda na kushindwa kwenye uchaguxi huo kuhojiwa na kupata maoni yao.

Mama samia anataka haki itumike kinyume na alichokifanya mbunge wa Hai kubaka uchaguzi mkuu wa chsma na kukivuruga chama.
Post zako zote ni majungu majungu tu, hunaga issues yaani wewe muda wote unaongelea watu tena kwa chuki tu.
Unafanya jukwaa linaloheshimika watu waapuze kusoma.

You are too mean, too childish and irretional at all.
Hata unavyoandika huna utulivu na bando lako unalitumiaje kwa udaku udaku. Shame kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Post zako zote ni majungu majungu tu, hunaga issues yaani wewe muda wote unaongelea watu tena kwa chuki tu.
Unafanya jukwaa linaloheshimika watu waapuze kusoma. You are too mean, too childish and irretional at all.
Hata unavyoandika huna utulivu na bando lako unalitumiaje kwa udaku udaku. Shame kabisa
F29F2735-8D97-4267-8CE9-7744641887F5.jpeg
 
Back
Top Bottom