Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Hapo kitambo, vijiwe hivi tuvionavyo ndivyo vilivyokuwa vyanzo vya kila kila vuguvugu la kiharakati, mwl, JK harakati zake nyingi zilianzia katika vijiwe hivi hata karume wa Zanzibar vijiwe vya...
0 Reactions
4 Replies
807 Views
Shule zinafunguliwa wiki ijayo, sote tunafahamu shule za umma wazazi hawalazimiki kulipia chochote shuleni na wazazi wanafurahia Jambo hili Katika pita pita zangu nimegundua yafuatayo :- 1. Pesa...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Ukizungumzia vyama vikongwe Afrika kwa sasa basi ccm ni namba wanu.Ukizungumzia chama chenye watu wakongwe wa ramani za siasa za ushindi wowote basi CCM ya Tanzania ina watu hao. Yapo mambo...
2 Reactions
12 Replies
770 Views
Wanahujumu mali za umma kisha kesho yake wanaita vyombo vya habari na kumsifia Mama kwa sifa zote zilizopo Duniani.
1 Reactions
7 Replies
748 Views
Kuhusu hili tukio la wale watumishi wa Afya ya zahanati moja huko Tabora nimeona media zote za chadema wanamsagia kunguni aisee kwahiyo sie chadema tunaona raha kuharibu vitumbua vya wenzentu...
0 Reactions
6 Replies
512 Views
Swali hili limeibuka baada ya mahubiri ya leo Kanisani kwamba Binadamu na hasa Wanasiasa hujiangaisha sana ili kufurahisha miili yao ambayo ni udongo tu Kwamba fahari ya mwili ndio huwateka...
0 Reactions
1 Replies
387 Views
Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini. Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Tunajua upole ni sifa ambayo kila mmoja anapaswa kuwa nayo pale inapostahili. Chochote kinachofanyika kinapaswa kuwa na kiasi. Swali langu ni je, ni kiongozi gani wa nchi za kiafrika alieweza...
3 Reactions
77 Replies
3K Views
Tupige kura ya maoni wanaotaka kuwa pro Magufuli na wale anti Magufuli na kila mtu awe na nchi yake kwani hali ilivyo sioni jinsi hawa watu wanaweza kuungana. Nchi ya Magufuli low debt to gdp...
37 Reactions
112 Replies
5K Views
Kukosekana Kwa sheria inayotoa mamlaka ya kuteua kunawafanya watendaji WA Ofisi ya Rais kutokutumia nguvu Sana kutekeleza majukumu yao. Endapo Rais atamtaka Zuhura Yunusu kuweka katika press zake...
1 Reactions
2 Replies
882 Views
Serikali ya Tanzania na Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani zimetiliana saini mkataba wa msaada wenye thamani ya Euro milioni 10 sawa na shilingi bilioni 23.7 kwa ajili ya utekelezaji...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwaka 2022 sekta ya utalii nchi iliimarika zaidi baada ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kucheza na kuzindua filamu ya Tanzania: Royal Tour. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kabisa katika historia ya...
7 Reactions
90 Replies
4K Views
Mimi ni mtoto wa Polisi na wazazi wangu wote walikuwa kwenye jeshi hili kwa miaka mingi sana. Kwa ufupi wazazi wangu hawajawahi kufanya kazi nyingine. Ukweli kumekuwa na malalamiko mengi sana ya...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana? Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama: ~ Mauaji ya Kibiti. ~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi. Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani...
14 Reactions
123 Replies
10K Views
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa. Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Wenyeviti, Jumuiya za Watanzania, MAREKANI. ZOEZI LA MAJARIBIO (PILOT STUDY) LA KUWAPATIA HUDUMA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA DIASPORA WA TANZANIA WENYE SIFA WANAOISHI NCHINI MAREKANI TAREHE 17 -...
1 Reactions
0 Replies
920 Views
Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote...
0 Reactions
3 Replies
523 Views
Tanzania inajulikana Kama kisiwa Cha Amani Duniani Ila Cha ajabu kwenye Nchi 10 zenye amani Zaidi hapa Afrika haipo hata kumi Bora,tatizo Ni Nini? Au Kuna tafsiri tofauti ya amani? 👇
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom