Slaa anakunywa maji gani?’ Au ana import kutoka Kijiji pendwa kule Kagera?
Huyu mzee kaona ushawishi wake umeshuka sana juu ya serikali ya mama Samia sasa anatafuta kiki na na beat ya kucheza na mama.

Anafikiri hatumbuki alivyokuwa akimuunga mkono Magufuri katika kila alilokuwa akilifanya.

Nakumbuka alitoa kauli ya kila Jambo lina muda wake akiongelea uhalali wa kuzuia kwa mikutano ya kisasa.
 
Back
Top Bottom