Upuuzi wa Makamba Senior ndio Chanzo cha Yanayoendelea!

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,884
Mtadanganyana na kudanganyika wenyewe kwa wenyewe!

Jiulizeni Mkurugenzi TISS kupelekwa Ikulu, kwa mfumo ule ule wa Lukuvi na Kabudi! Hamjifunzi jambo hapo tu? Pale wanaenda kuwekwa kwenye ulinzi wa karibu zaidi.

Na bado mengi yanafuatia!

Eti maridhiano!
Kwamba mmeridhiana Samia akiondoka atawaachia na nyinyi zamu yenu au?

Ukweli ni kwamba hali ndani ya CCM sio nzuri tangu Makamba Senior alipotoa zile kauli zake kwenye NEC Dodoma.
Imeleta mtarafuku mkubwa na ulianzia pale pale Dodoma.

Pamoja na Mwenyekiti wa CCM kuwaita wajumbe na kujaribu kuwatuliza.
Kwenye kikao kingine cha dharura jioni ile ile. Wajumbe wengi walikereka sana na kauli za Makamba!

Kwamba..." ilifika mahali wazee tukasema Hapana"

Na..."wazuri huwa hawafi"

Na wanahoji ni nini kiko nyuma ya Pazia na jeuri zile za Makamba!

Nini kweli kilitokea?

Hivyo ukweli umebaki kwamba kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM kuliko ilivyo kwa CCM na Upinzani.

Asali Gang wametishika mno!

Hii kuruhusu vyama kufanya siasa, ni mbinu tu ya Samia kujaribu kubadili upepo ndani ya CCM ili wasahau tofauti zao na kuwageukia wapinzani baada ya kuruhusiwa siasa za majukwaani.

Fukuto ni kubwa, hata wajane walisusa huo ufunguzi wa Bwawa. Pamoja na kupewa mialiko.

Wale mnaojidanganya nguvu ya Magufuli imekwisha, kaeni mjitafakari.

Asali Gang wametishika na jinsi watu walivyomshabikia mtoto wa Magufuli alipokwenda kupokea tuzo kwa niaba ya baba yake.

Legacy ya Magufuli haiko kwa hao viongozi waliokuwa wafuasi wake tu. Ambao kwa sasa wanapukutishwa kutoka serikali ya Samia. Hao ni tone tu.

Bali Magufuli yuko kwenye mioyo ya watanzania wengi kwa asilimia kubwa sana. Kama hamuamini subirini 2025!

Halafu muwaone wale wanasiasa, watakaotumia majukwaa yao kumponda Marehemu Magufuli, watakachoambulia!

"Magufuli yupo na ataendelea kuwepo sana!"

Na huenda ndie mwanasiasa anayetajwa kwa wingi kila siku kuliko mwanasiasa yeyote nchini.

Nimemaliza wenye kutukana endeleeni kama kawaida, lakini huo ndio ukweli halisi. Sio mnavyofurahia maridhiano kama vile Samia kisha ridhiana na nyinyi akiondoka mtaingia nyinyi.

Alamsikhi
10101.
View attachment 2470604
 
Mtadanganyana na kudanganyika wenyewe kwa wenyewe!

Jiulizeni Mkurugenzi TISS kupelekwa Ikulu,kwa mfumo ule ule wa Lukuvi na Kabudi!
Hamjifunzi jambo hapo tu??

Pale wanaenda kuwekwa kwenye ulinzi wa karibu zaidi.

Na bado mengi yanafuatia!

Eti maridhiano!
Kwamba mmeridhiana Samia akiondoka atawaachia na nyinyi zamu yenu au?

Lakini ukweli ni kwamba hali ndani ya CCM sio nzuri tangu Makamba Senior alipotoa zile kauli zake kwenye NEC Dodoma.

Imeleta mtarafuku mkubwa na ulianzia pale pale Dodoma.

Pamoja na Mwenyekiti wa CCM kuwaita wajumbe na kujaribu kuwatuliza.
Kwenye kikao kingine cha dharura jioni ile ile

Wajumbe wengi walikereka sana na kauli za Makamba!

Kwamba..." ilifika mahali wazee tukasema Hapana"

Na..."wazuri huwa hawafi"

Na wanahoji ni nini kiko nyuma ya Pazia na jeuri zile za Makamba!

Nini kweli kilitokea?

Hivyo ukweli umebaki kwamba kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM kuliko ilivyo kwa CCM na Upinzani.

Asali Gang wametishika mno!

Hii kuruhusu vyama kufanya siasa,ni mbinu tu ya Samia kujaribu kubadili upepo ndani ya CCM ili wasahau tofauti zao na kuwageukia wapinzani baada ya kuruhusiwa siasa za majukwaani.

Fukuto ni kubwa,hata wajane walisusa hiyo ufunguzi wa Bwawa.
Pamoja na kupewa mialiko.

Wale mnaojidanganya nguvu ya Magufuli imekwisha,kaeni mjitafakari.

Legacy ya Magufuli haiko kwa hao viongozi waliokuwa wafuasi wake tu.
Ambao kwa sasa wanapukutishwa kutoka serikali ya Samia.
Hao ni tone tu,

Bali Magufuli yuko kwenye mioyo ya watanzania wengi kwa asilimia kubwa sana.

Kama hamuamini subirini 2025!

Halafu muwaone wale wanasiasa,watakaotumia majukwaa yao kumponda Marehemu Magufuli,watakachoambulia!

Magufuli yupo na ataendelea kuwepo sana!
Na huenda ndie mwanasiasa anayetajwa kwa wingi kila siku kuliko mwanasiasa yeyote nchini.

Nimemaliza wenye kutukana endeleeni kama kawaida,lakini huo ndio ukweli halisi.

Sio mnavyofurahia maridhiano kama vile Samia kisha ridhiana na nyinyi akiondoka mtaingia nyinyi.

Alamsikhi
10101.
Unaumia ukiwa wapi mkuu?
 
Nyie Sukuma Gang mna nguvu sio?
Kama mnajiamini Hebu tokeni nje ya CCM mkabiliane na Samia kama Lowassa alivyofanya

Nimekaa paleeee...

Huyu Makamba mli shangilia sana aliposema Magufuli atawabatiza upinzani kwa moto, akimaanisha atawaua na kuwafunga, ni kweli alifanya hivyo ila karma ikamkuta

leo kimewarudia, mtu wenu sijui kauawa sijui kafa kihalali, halafu mnazomewa na yule yule
 
Mtadanganyana na kudanganyika wenyewe kwa wenyewe!

Jiulizeni Mkurugenzi TISS kupelekwa Ikulu,kwa mfumo ule ule wa Lukuvi na Kabudi!
Hamjifunzi jambo hapo tu??

Pale wanaenda kuwekwa kwenye ulinzi wa karibu zaidi.

Na bado mengi yanafuatia!

Eti maridhiano!
Kwamba mmeridhiana Samia akiondoka atawaachia na nyinyi zamu yenu au?

Lakini ukweli ni kwamba hali ndani ya CCM sio nzuri tangu Makamba Senior alipotoa zile kauli zake kwenye NEC Dodoma.

Imeleta mtarafuku mkubwa na ulianzia pale pale Dodoma.

Pamoja na Mwenyekiti wa CCM kuwaita wajumbe na kujaribu kuwatuliza.
Kwenye kikao kingine cha dharura jioni ile ile

Wajumbe wengi walikereka sana na kauli za Makamba!

Kwamba..." ilifika mahali wazee tukasema Hapana"

Na..."wazuri huwa hawafi"

Na wanahoji ni nini kiko nyuma ya Pazia na jeuri zile za Makamba!

Nini kweli kilitokea?

Hivyo ukweli umebaki kwamba kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM kuliko ilivyo kwa CCM na Upinzani.

Asali Gang wametishika mno!

Hii kuruhusu vyama kufanya siasa,ni mbinu tu ya Samia kujaribu kubadili upepo ndani ya CCM ili wasahau tofauti zao na kuwageukia wapinzani baada ya kuruhusiwa siasa za majukwaani.

Fukuto ni kubwa,hata wajane walisusa hiyo ufunguzi wa Bwawa.
Pamoja na kupewa mialiko.

Wale mnaojidanganya nguvu ya Magufuli imekwisha,kaeni mjitafakari.

Legacy ya Magufuli haiko kwa hao viongozi waliokuwa wafuasi wake tu.
Ambao kwa sasa wanapukutishwa kutoka serikali ya Samia.
Hao ni tone tu,

Bali Magufuli yuko kwenye mioyo ya watanzania wengi kwa asilimia kubwa sana.

Kama hamuamini subirini 2025!

Halafu muwaone wale wanasiasa,watakaotumia majukwaa yao kumponda Marehemu Magufuli,watakachoambulia!

Magufuli yupo na ataendelea kuwepo sana!
Na huenda ndie mwanasiasa anayetajwa kwa wingi kila siku kuliko mwanasiasa yeyote nchini.

Nimemaliza wenye kutukana endeleeni kama kawaida,lakini huo ndio ukweli halisi.

Sio mnavyofurahia maridhiano kama vile Samia kisha ridhiana na nyinyi akiondoka mtaingia nyinyi.

Alamsikhi
10101.
He is dead and rotten
 
Kwa dunia ya sasa, ukiua upinzani, unatengeneza upinzani wa ndani ya chama chako ambao lazima utakiua chama chako.

Nyerere hakuwa mpumbavu kuruhusu mfumo wa vyama vingi 1992, vyama vingi vinakisaidia sana chama tawala kiwe na mshikamano kwani nyote mtakuwa mnamface adui wa nje kwanza kabla ya adui wa ndani, yani inakuwa adui wa adui yako ni rafiki yako.

Ila mkiuzima upinzani, automatically nyie nyie mnaanza kusuguana kwa maana kamwe haitakaa itokee ndani ya chama nyote mkawa na msimamo sawa.
 
Huo ndio uhalisia!
Ila kule ndani CCM hali sio ya upinzani wa Hoja,bali kuna zaidi ya hilo.
 
Mtadanganyana na kudanganyika wenyewe kwa wenyewe!

Jiulizeni Mkurugenzi TISS kupelekwa Ikulu,kwa mfumo ule ule wa Lukuvi na Kabudi!
Hamjifunzi jambo hapo tu??

Pale wanaenda kuwekwa kwenye ulinzi wa karibu zaidi.

Na bado mengi yanafuatia!

Eti maridhiano!
Kwamba mmeridhiana Samia akiondoka atawaachia na nyinyi zamu yenu au?

Lakini ukweli ni kwamba hali ndani ya CCM sio nzuri tangu Makamba Senior alipotoa zile kauli zake kwenye NEC Dodoma.

Imeleta mtarafuku mkubwa na ulianzia pale pale Dodoma.

Pamoja na Mwenyekiti wa CCM kuwaita wajumbe na kujaribu kuwatuliza.
Kwenye kikao kingine cha dharura jioni ile ile

Wajumbe wengi walikereka sana na kauli za Makamba!

Kwamba..." ilifika mahali wazee tukasema Hapana"

Na..."wazuri huwa hawafi"

Na wanahoji ni nini kiko nyuma ya Pazia na jeuri zile za Makamba!

Nini kweli kilitokea?

Hivyo ukweli umebaki kwamba kuna mgawanyiko mkubwa ndani ya CCM kuliko ilivyo kwa CCM na Upinzani.

Asali Gang wametishika mno!

Hii kuruhusu vyama kufanya siasa,ni mbinu tu ya Samia kujaribu kubadili upepo ndani ya CCM ili wasahau tofauti zao na kuwageukia wapinzani baada ya kuruhusiwa siasa za majukwaani.

Fukuto ni kubwa,hata wajane walisusa hiyo ufunguzi wa Bwawa.
Pamoja na kupewa mialiko.

Wale mnaojidanganya nguvu ya Magufuli imekwisha,kaeni mjitafakari.

Legacy ya Magufuli haiko kwa hao viongozi waliokuwa wafuasi wake tu.
Ambao kwa sasa wanapukutishwa kutoka serikali ya Samia.
Hao ni tone tu,

Bali Magufuli yuko kwenye mioyo ya watanzania wengi kwa asilimia kubwa sana.

Kama hamuamini subirini 2025!

Halafu muwaone wale wanasiasa,watakaotumia majukwaa yao kumponda Marehemu Magufuli,watakachoambulia!

Magufuli yupo na ataendelea kuwepo sana!
Na huenda ndie mwanasiasa anayetajwa kwa wingi kila siku kuliko mwanasiasa yeyote nchini.

Nimemaliza wenye kutukana endeleeni kama kawaida,lakini huo ndio ukweli halisi.

Sio mnavyofurahia maridhiano kama vile Samia kisha ridhiana na nyinyi akiondoka mtaingia nyinyi.

Alamsikhi
10101.
Endeleeni kufukutana,sisi tumekaa pale tunafurahia
 
Huna lolote ndoto zako tu hizo tena za mchana. Magu yuko moyoni mwako sijui alikufanyia nini maana hata mke wake ameshamsahau. Kamfuate alipo.
 
Nyie Sukuma Gang mna nguvu sio?
Kama mnajiamini Hebu tokeni nje ya CCM mkabiliane na Samia kama Lowassa alivyofanya

Nimekaa paleeee...
Mimi sio Sukuma Gang,bali ninaamini ninachokisema!

Kama sio kuwaogopa wafuasi wa Magufuli....

Kwa nini hawaruhusu Umoja Party ipate usajili?

Lowasa alijenga wafuasi hewa waliokuwa wakifuata Pesa zake.

Ni tofauti na Magufuli.
 
And your turn will come and you will rote too!
Nobody is here forever!

Na kama wewe shujaa kweli,siku moja jaribu kuropoka haya jukwaani.

Pia cheti fake hakijakuacha na hautarudia alipokuchomoa!
Magufuli mwenyewe baba wa cheti fake au hujui we kilaza? Eti jitokeze subiri kampeni usikilizie vizuri. We na wenzio minyau tu mnatishia watu mfu? Au nanyi tayari wafu?
 
And your turn will come and you will rote too!
Nobody is here forever!

Na kama wewe shujaa kweli,siku moja jaribu kuropoka haya jukwaani.

Pia cheti fake hakijakuacha na hautarudia alipokuchomoa!
We mbwiga mimi sijawahi kuajiriwa serikalini wala mashirika ya umma hiyo habari ya vyeti feki unaijua wewe mimi hainihusu, na hakuna mahali nimesema sifi. Nilichosema ni kuwa huyo mtu wenu alishakufa kuendelea kumtaja taja mnawaletea kumbukumbu mbaya tu familia yake.
 
Back
Top Bottom