Hali ya wizi Serikalini awamu ya Sita imevuka mipaka

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,813
21,413
Sikilizeni na JPM angewafukuza sasa wanabembelezwa

===
Waziri Mkuu Mh.Kassim Majaliwa, amemuagiza Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Katavi, awachunguze watumishi wawili akiwemo Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Mpanda {MUWASA}, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi ya umma.
 
Sikilizeni na JPM angewafukuza sasa wanabembelezwa
Hata Mimi nimemshangaa.

Huyu Kama Ni system hawezi kufukuzwa ndio maana nae anajizungusha tuu hapa Kama Mwendazake alivyokuwa anajizungusha kwa wale Ma Ded walionunua ma v8 kwa Pesa za Wananchi kwa mil.400..

Yupo Mwingine Sumbawanga ana shutuma kibao huwa haguswi kila RC anaondoka yeye Ila huyu haguswi,alikuja Kinana wakamsema huyu Ded lakini yupo tuu..
 
Mimi nadhani viongozi wajiepushe kuanika udhaifu wa watumishi ama kuwatumbua kwenye mikutano. Wanajidhalilisha.

Inaonesha serikali haiko coordinated ama wanatafuta kiki. Siyo kazi ya waziri mkuu kutoa shutuma ama kumfukuza mtumishi hadharani.

Mpaka waziri mkuu anayasema haya maana yake Kuna vyombo vimefanya kazi na kumpa hiyo taarifa. Sasa Kuna maqna gani kupoteza muda adhimu wa waziri mkuu kuziongelea hapo?

Kwanini hivyo vyombo visingewapeleka hao watumishi mahala stahiki?

Kiongozi asipimwe kwa kufokafoka hadharani ama kutumbua mtumishi hadharani. Mwendazake ndiye Mwanzilishi wa upuuzi huu.
 
Juma Aweso ni mpigaji Waziri mkuu hajui na hakumbuki.

Juma Aweso aliwahi kumfukuza kazi Engineer wa Maji wilaya ya monduli, baada ya Miezi michache Juma Aweso akapokea chake akaweka mfukoni sasa tunavyoongea Engineer yuko kazini na Ana endelea na Wizi ule ule.

So Huyo mtumishi anayemtaja haja Jose’s yuko sawa.

Juma Aweso ni Kati ya wagombea urais kupitia CCM mwaka 2030 JUMA AWESO amejiandaa.

Juma’ AWESO Huyo Huyu aliwahi kumrubuni Dc wa wilaya yake Akawa mke wa pili .

1. Fedha Za miradi ya maji yote Unaishi a mkoa wa Tanga kupitia Juma Aweso.

2. Fedha Za umeme na miradi ya umeme yote Unaishi a mkoa wa Tanga kupitia kwa January makamba.

3. Fedha Za afya na miradi ya afya yote Unaishia mkoa wa Tanga kupitia Waziri Ummy Mwalimu.

Kwa maelezo Haya hapo juu, Piga au 2030 Urais kupitia CCM unatokea mkoa wa TANGA, ukiunganisha na doti kuwa Makatibu wa ccm wa wilaya karibia nchi nzima wametokea mkoa wa Tanga.

Kuweni makini na Juma Aweso , Ummy Mwalimu na January makamba watu wa ccm.

USHAURI WA BURE: Wizara 3 zenye bajeti kubwa na miradi mikubwa Tanzania ni AFYA, NISHATI NA MAJI ilikuwaje wizara hizi zote mawaziri wote watokee mkoa mmoja?

Wapanguliwe haraka iwezekanavyo, Hali sio shwari.
 
Hata Mimi nimemshangaa.

Huyu Kama Ni system hawezi kufukuzwa ndio maana nae anajizungusha tuu hapa Kama Mwendazake alivyokuwa anajizungusha kwa wale Ma Ded walionunua ma v8 kwa Pesa za Wananchi kwa mil.400..

Yupo Mwingine Sumbawanga ana shutuma kibao huwa haguswi kila RC anaondoka yeye Ila huyu haguswi,alikuja Kinana wakamsema huyu Ded lakini yupo tuu..

Pengine ni majungu tu. Utakuta hana shida yoyote.
 
Acheni watu wale walichokipambania mtu usome kwataabu upate ajira uache kupiga marupurupu utakua mpuuxi wakiwango SGR

Nb
Viongozi nawatendaji waserikali nibinadam Kama wewe wanahitaji kusimamiwa nawasimamizi nisisi wananchi wanafiki tusioweza toka mtandaoni nakuwafuata maofisini iwe kwakheri ama kwqshari
 
Back
Top Bottom