Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kipi kilijificha nyuma ya watu wasuojulikana? Tumeshuhudia matukio mengi ya kutisha na kuogofya ndani ya ardhi ya Tanzania kama: ~ Mauaji ya Kibiti. ~ Mapigano ndani ya mapango ya Amboni...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuu, Kuna jambo nahisi hata wahiriri wetu na viongozi wa umma wameshindwa kurekebisha sababu ya mazoea au hapa tuambiane kama ni kiswahili sahihi. Hivi ni sahihi kuita TISS kama Idara? Zamani...
14 Reactions
123 Replies
10K Views
Mama juzi kajisifu kukopa sana ili kukamilisha miradi aliyoanzisha Jpm, na kwamba atahakikisha hakuna hela ya mkopo inaliwa. Watanzania tujue mabeberu walikua wanachukizwa na ari ya jpm ya...
11 Reactions
61 Replies
3K Views
Wenyeviti, Jumuiya za Watanzania, MAREKANI. ZOEZI LA MAJARIBIO (PILOT STUDY) LA KUWAPATIA HUDUMA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA DIASPORA WA TANZANIA WENYE SIFA WANAOISHI NCHINI MAREKANI TAREHE 17 -...
1 Reactions
0 Replies
920 Views
Kwa kawaida huwa tunapokezana wajibu kwa mzunguko. Kuna wakati katika historia Afrika ilikuwa nyuma sana katika kiwango cha ustaarabu, maadili na utu!! Machifu walikuwa kama miungu watu, chochote...
0 Reactions
3 Replies
523 Views
Tanzania inajulikana Kama kisiwa Cha Amani Duniani Ila Cha ajabu kwenye Nchi 10 zenye amani Zaidi hapa Afrika haipo hata kumi Bora,tatizo Ni Nini? Au Kuna tafsiri tofauti ya amani? 👇
3 Reactions
25 Replies
4K Views
ndio tunaanza harakati za kisiasa punde tu baada ya rais kutoa tamko! mimi ninashauku kubwa na hii mikutano natamani kila chama kitapokuwa kinahutubia niwepo ,naamini nitatimiza azma yangu...
2 Reactions
12 Replies
542 Views
Kauli ya Balozi Dkt. Slaa kuhusu Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa kufanyika Video: Jambo TV
6 Reactions
70 Replies
6K Views
Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi...
0 Reactions
0 Replies
416 Views
Juzi Mama karuhusu mikutano ya hadhara ambayo ilizuiliwa kinyume na Katiba ya Nchi. Mama ameendeleza zuio hilo kwa miaka miwili akiwa Rais wa JMT. Cha ajabu, Wapinzani wengi wamepoteza uelekeo...
2 Reactions
9 Replies
672 Views
Wakuu, Heri ya Mwaka Mpya wa 2023 tunaokaribia kabisa kuufikia, hongereni sana kwa kufika hadi muda huu, pamoja na Changamoto zote za Nchi yetu, vikiwemo, njaa, maradhi, umeme na mfumuko wa bei...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Kwa mfano Mwenyekiti wa Chadema yuko madarakani kwa zaidi ya miaka 20 Yaani Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema tangu Mbape wa PSG akiwa mtoto mchanga Kadhalika Mnyika na Salum Mwalimu wako...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Kama tulivyomsikia majuzi, wakati anakutana na viongozi wa vyama vya siasa nchini huko Ikulu, Rais Samia Suluhu Hassan, alitoboa Siri kuwa haikuwa rahisi kufikia Maridhiano na chama kikuu Cha...
10 Reactions
12 Replies
2K Views
Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi...
7 Reactions
8 Replies
1K Views
Majimbo yote ya Arusha na Kilimanjaro Kwa kuzingatia Aina ya nguvu ya upinzani huko na wabunge waliopo Kwa SASA NI wazi mkiwapelekea wananchi wagombea serious wanapata endorsement before 2025...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Edward Lowassa aliipa heshima kubwa sana CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 baada ya kuwapa kura nyingi za urais na wabunge wengi sana zaidi ya 100 wa...
0 Reactions
4 Replies
664 Views
Nchi ya Qatar imenivutia sana kwa kuwa na msimamo mzuri dhidi ya uozo wa kimagharibi wa pombe, ngono, ushoga etc Zanzibar ni nchi nzuri ya kistaarabu sana lakini naona kuna uozo unaongezeka kwa...
10 Reactions
171 Replies
8K Views
Habari zenu wana JF wenzangu. Hapo chini ni mambo 10 yaliomshinda raisi Magufuli enzi za uhai wake. 1) Alishindwa kuwa mnafiki 2) Alishindwa kushirikiana na mabeberu walioinyonya nchi yetu 3)...
19 Reactions
115 Replies
6K Views
RAIS Samia Suluhu Hassan kwenye hotuba yake ya leo amesema aliambiwa asikutane na Chadema kusaka maridhiano. Kwa kuwa tumeshaamua kuwa taifa la haki, ukweli na uwazi ni vizuri tuwafahamu hao...
10 Reactions
45 Replies
3K Views
Back
Top Bottom