Nadhani kwa situation iliyopo sasa katika Nchi, ni bora zaidi tufuate wosia wa Nchimbi badala ya kumshambulia au kumpuuza.
Wengine wanasema, huyu asituchanganye kwa sababu naye yupo ndani ya mfumo, lakini, Je, shetani akikwambia kuwa, usipite njia hiyo, kuna hatari, na pengine kwa umbali na wewe unaiona hiyo hatari, hutamsikiliza kwa sababu tu yeye ni shetani?
Soma pia Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya