Nina taarifa za ndani kabisa kwamba wanataka kunikamata. Mimi siogopi kukamatwa, mimi sio mtu wa kutishiwa. I was born once, I live once and I will die once. Kama unataka kumtisha Heche unagonga pabaya na jipange upya.
Hatuwezi kuishi kwa kunyimana amani. 'Ukitunyima amani tutakunyima amani'. Short and clear. By - John Heche, akizungumza na wananchi wa Nyamagana Mkoani Mwanza leo Jumatano Julai 29, 2026.