baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 13,241
- 15,304
Bashungwa akiwa waziri wa mambo ya ndani alijaa kiburi cha kupitiliza na dharau sana huyu mtu yuko wapi? Je yaliyotokea October 29 ndo yanaenda kumzika kisiasa?
Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni mbunge kama wabunge wengine na amejaa damu za watu
Bashungwa alikua anaongea utafikiri ana hati miliki na uwaziri wa mambo ya ndani leo hana cheo ni mbunge kama wabunge wengine na amejaa damu za watu