Kabla ya kutaka ya Kaijage tupe ya "dokita" Samuya PhD..
🤣🤣🤣Kabla ya kutaka ya Kaijage tupe ya "dokita" Samuya PhD..
Unataka upewe ya nini? if you are scholar unafahamu pa kuyapata. Acha kusumbua watuNaomba mwenye machapisho ya kitaaluma(articles) za lecturer melkesedeki kitunzi kaijage ayaweke humu jamvini tuweze kumjadili kitaaluma.
Na ya yule Naibu Waziri wa elimu.
Lete link punguza porojoUnauwezo gani wewe wa kumjadili mtu "kitaaluma"
Weka wasifu wako wa kiusomi hapa kabla hujataka kujionyesha ujinga mkubwa ulionao mwenyewe.
Wewe hata Wanu Hafidh anayo nafuu!
Maandishi yako tu humu JF ni kielelezo tosha.
Sasa usilalamike kuwa nakuonea.
Tazama tu hata kwenye hayo maneno machache uliyoandika hapo unavyoonyesha hujui kitu.
"...machapisho ya kitaaluma", wewe unayaita "articles"!
Wazo muhimu ili naye tujue andiko kake lilihusu niniKabla ya kutaka ya Kaijage tupe ya "dokita" Samuya PhD..
ile ni ya heshima haina chapishooKabla ya kutaka ya Kaijage tupe ya "dokita" Samuya PhD..
Basi waache kumtaja kama dokta maana shahada hizo za kupewa kama pipi sheria yake hazitaki mtu aweke title ya Dr.ile ni ya heshima haina chapishoo