Katika taarifa ya kipindi cha Nipashe leo asubuhi hii, toka radio one, imeripotiwa Serikali itafafadhili vijana 1050 watakaosoma masomo ya science ndani na nje ya Nchi.
Taarifa hiyo imeeleza vijana 1000 watasoma ndani ya Nchi masomo mbalimbali ya sayansi na 50 nje ya Nchi.
Kwanza naipongeza Serikali kuja na mkakati huu, ikiwa tu utakuwa makini, usio na upendeleo wa kisiasa, kidini au kifamilia.
Naelewa tumechelewa sana tangu Mwl Nyerere aliposomesha bure tangu chekechea hadi PhD lakini baadae Serikali ya mwinyi ikaweka malipo kwa elimu ya Secondary hadi chuo kikuu.
Hatujachelewa ikiwa tuna utashi wa kweli.