Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hello Wadau, Binafsi naunga mkono Katiba Mpya ila siungi mkono Katiba Mpya ya kuondoa wahuni wa CCM na kuleta wahuni wa Chadema,nataka Katiba Mpya ambayo ni takwa la Wananchi na mda ndio utaileta...
6 Reactions
73 Replies
4K Views
Kuna wakati nakuwa sina uhakika sana na dhamira ya nchi hii kuhamia Dodoma ila ngoja nichukulie kuwa dhamira hii ni ya kweli na itadumu. Taifa la Marekani walifanya kitu kimoja unique sana wakati...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
Kulitolewa wito kuwataka vyama kufanya siasa za kistaarabu. Kama vile wametumwa yamezuka magenge ya chawa yenye rabsha na uzushi wa kila aina mitandaoni, kupalilia fitna zozote ndani ya vyama...
0 Reactions
10 Replies
876 Views
Ni kweli ni haki ya watanzania kuwa na faragha. Hii ipo ki katiba. Hata huko Ulaya kwa kwa ajili ya maslahi ya mataifa yao faragha zinaingiliwa. Sasa iweje hapa nchini watu wa jinsia moja...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Anonymous
Wakuu, Mchakato huu hauna harufu ya ufisadi ndani yake? Nini maoni yako? Ikumbukwe, Symbion Power iliondoka TZ ikiwa na deni la waliokuwa wafanyakazi wake lenye thamani ya TZS Bilioni 12 na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi kweli mtu anaweza kuzawadiwa Ubunge wa Jimbo kinyemela au Kinyume cha Sheria ya uchaguzi? Kwa viti maalum inawezekana kabisa hata James Mbatia amewahi kupewa. Jumaa kareem!
1 Reactions
9 Replies
534 Views
Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 63 (2) moja ya majukumu ya Bunge la JMT (Mbunge) ni KUISHAURI NA KUISIMAMIA SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano na vyombo vyake vyote...
0 Reactions
8 Replies
619 Views
Spika Dr Tulia amesema wanaofichua maovu kwa njia ya mitandao walindwe badala ya kuwazuia kwani ndivyo inavyofanyika duniani kote Kama taarifa zinaibua maovu ambayo yanaisaidia Serikal yenyewe...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Wachumi wakubwa Tanzania na mlioko nje ya Tanzania tusaidieni kufanya uchambuzi kati ya Mpina na Mwigulu nani yuko sahihi kwenye hoja ya Mfumko wa Bei na usimamizi hafifu wa Sera za Fedha. Hebu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa TLP mh Richard Lyimo amesema Chama chake kilimuunga mkono Hayati Magufuli Kwenye uchaguzi mkuu 2020 kwa sababu waliahidiwa kupewa Ubunge (Wabunge). Lyimo amesema wao kama Chama...
12 Reactions
47 Replies
3K Views
Wakati akiwa UDSM akisomea Shahada ya Uchumi, Mwigulu alitambulika zaidi kwa jina la Chief Madelu na kuna taarifa za watu wake wa karibu alikuwa sio mhudhuriaji mzuri darasani kwenye Lecture...
3 Reactions
15 Replies
972 Views
Naikumbuka vizuri sana siku ya tarehe 06/04/2021 ambapo Rais wangu mpendwa Mama Samia akiwaapisha viongozi mbalimbali pale Ikulu yetu, alisema kuna suala la Bima ya Afya kwa Wote, wataalam kaeni...
0 Reactions
0 Replies
452 Views
Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini...
5 Reactions
61 Replies
7K Views
Baraza la Madiwani Jijini Mbeya limepiga marufuku Usajili mpya wa Bajaj kwa sababu zimekuwa nyingi kupitiliza mahitaji. Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya amesema Usajili utakaofanywa ni ule wa...
10 Reactions
56 Replies
6K Views
Habari wana JF, Binafsi nna kama Miezi 6 au zaidi sijakutana na mwanachi anaeishangilia na kuisifia hii serikali ya Awamu ya Sita. Ingawa kuna ongezeko la mishahara na Ajira lakini bado kila...
7 Reactions
72 Replies
3K Views
Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu...
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua...
6 Reactions
91 Replies
4K Views
HATIMAYE serikali imetangaza kikokotoo kipya cha mafao ya wastaafu, safari hii kukishuhudiwa kuwapo kwa usawa na uwiano kati ya watumishi wa umma na sekta binafsi. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri...
5 Reactions
36 Replies
13K Views
Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi, Jumuiya ya Wazazi CCM Musoma imetoa zawadi kabambe ya Kengele ya kisasa aina ya Rimu la gari, kwa ajili ya kutumika shuleni hapo...
41 Reactions
172 Replies
9K Views
Nimefanya utafiti mdogo kuhusu Sababu za kuongezeka Kwa wageni wanaofanya kazi nchini kinyume cha sheria na mbinu za ukwepaji Kodi wanazotumia nikadhani sheria zetu ni rafiki Sana Kwa...
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…