We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi.
Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti.
Sasa...
Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya.
Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata...
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watanzania kudharau mambo muhimu na ya kimsingi hasa yanayofanywa na watanzania wenzetu wazalendo, jambo linalopeleka kulikwamisha Taifa letu kwenye kupiga hatua za...
Pamoja na uchumi wa Dunia kuendelea kukumbana na changamoto za;
Mfumuko wa bei
Sekta za fedha kuathiriwa
Bei za mafuta kuyumba
Tanzania [emoji1241] tunashuhudia
- mfumuko wa bei kushuka kutoka...
Nilikuwa nafuatilia runingani namna Rais Samia anavyowakabidhi majengo wale wananchi walioahidiwa kujengewa na hayati JPM. Alipoanza kuongea yule Bibi aliyekuwa ameongozana na Babu kama ndio...
Serikali kama imelala kwenye fedha inayoleta kwa ajili ya maendeleo fedha hizo zinaishia mikononi mwa wajanja. Kwani yanayofanyika ni madudu matupu nimepitia baadhi ya halmashauri.
Miradi mingi...
MKUU wa wilaya ya Morogoro, Albert Msando amepata ajali maeneo ya Dakawa mkoani Morogoro baada ya gari aliyokuwa amepanda kugongana uso kwa uso na gari jingine dogo.
Ajali hiyo imetokea wakati...
Itakapofika saa tatu mh rais wa nchi Dr. Jakaya Kikwete atalihutubia taifa.
- Mh rais tume inaadikisha watu 6000 kwa siku,serikali itatoa kipaumbele cha fedha kwa tume na nimekisha aagiza hazina...
Mwigulu Nchemba naona jana umepambana bungeni kumjibu Mpina kuhusu hoja ya Mfumko wa Bei na waliokuelewa wamekuelewa na ambao hawajaelewa hawataelewa.
Kuna jambo kubwa sana Mpina amelizungumzia...
Nimeona nami leo hii nimpe kongole Mh: Samia, Watanzania tumepita kwenye maisha ya mashaka makubwa sana, roho zetu zilikuwa mikononi mwa serikali ya hawamu ya tano, wengi wetu hasa sisi wapinzani...
Kuna Watu humu Macho na Mishipa ya vichwa imewatoka kutetea WIZI MKUBWA wa FEDHA za PLEA BARGAIN.
Watu wote waliotaka Kumaliza KESI zao Walitakiwa waandike Barua kwa DPP na kukubaliana Kiasi cha...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa ni hatua muhimu ya kulinda vyanzo vya maji, kudumisha...
Askofu Gwajima,
Nimesikiliza mchango wako bungeni ukitetea mkataba wa hao wachina kuwa una manufaa makubwa na kwamba tusipo implement makubaliano tutashtakiwa!
Niwe mkweli, baada ya kusikia...
BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia...
Matukio katika Picha
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mheshimiwa Majid Hemedi Mwanga ambae sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi akimkabidhi Ofisi Mkuu wa Wilaya (mpya) wa Wilaya ya...
Hii ni kupigana midongo ya nguvu
"Kama hatuwezi kujenga Ofisi yetu wenyewe, tutaweza kujenga mashule ya watoto wetu kusoma na Vituo vya Afya vya kina mama zetu kujifungua kwa stara? Tutaweza...
Angalia hii kitu hapa chini, hizi ni nyumba au magorofa yanayoitwa Magomeni Kota, humu ni sehemu ambayo nimekabidhiwa kuishi kama mmoja wa wanaostahili kuishi kutokana na kuwepo eneo hili baada ya...
Katiba ni sheria kuu ya nchi inayoweka mfumo wa kisheria na kitaasisi kwa serikali, kufafanua haki na wajibu wa raia, na kuweka kanuni za utendaji kazi wa jamii. Ni hati inayoeleza kanuni na...
Kwenye taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku wameonyeshwa wananchi wakilalamika kuwa uvuvi haramu wa kutumia mabomu umerudi kwa kasi na wananchi kila siku wamekuwa wakiokota samaki wengi...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu , leo amewasili nyumbani kwao , kwenye Boma la Mzee Lissu , Katika Kijiji cha Mahambe , Wilayani Ikungi.
Lissu amepokelewa na ndugu zake wakiwemo...