Picha inajieleza ....
======
Watumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) wakiendelea na maandalizi kwa ajili ya kukuletea mbashara matangazo ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake kwa Chama...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amekabidhi jumla ya pikipiki 61 kwa Maafisa Ugani katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ikiwa ni hatua muhimu ya kuboresha na kuongeza tija katika sekta ya...
Katika siasa za Magharibi sijawahi kuona salamu za vyama vya siasa kama za CCM Oyeee...Oyeee au kidumu chama cha mapinduzi...kidumuuu au CDM Peoples....Power au ACT Wazalendo...nchi jana na leo au...
Mbunge kipenzi wa Mbeya mjini Dr Tulia amewapa Mitaji Wanawake 1000 Ili kuimarisha Uchumi wao
Hii imefanyika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani
Dr Tulia ameahidi mambo mazuri zaidi yanakuja hadi...
Siku za hivi karibuni hapa nchini na hasa hasa jijini dsm,vijana wengi mtaani wamekuwa wakijipatia kipato chao cha mkate wao wa kila siku kupitia kazi ya kuokota makopo yaliyotupwa na watumiaji...
WanaJf, salaam tena!
Nimekuja kuuliza tena baada ya shangao kubwa linalotokana na ndimu mbili za chama kikongwe cha upinzani - CDM. Kimsingi sitegemei kuona CDM kikitoa misimamo inayoyumba na...
ZAMA zimebadilika sana. Siasa za majukwaani zipo lakini ukweli ni kwamba mitandao ya kijamii nayo ina nafasi kubwa sana Kwa sasa. Na si kila mtandao unafaa kufikisha ujumbe.
Jamii Forum ni jukwaa...
Nape,
Siku ya jana tarehe 06 Machi 2023 nimekusikiliza kwa kituo kila hoja uliyokuwa unaijibu katika kipindi cha Dk. 45 ambapo ulikuwa unatoa fafanuzi kwa masuala kadha wa kadha.
Kwanza...
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan akiwa mjini Arusha katika ziara yake ya siku chache amemualika Nabii mkuuu GEODAVIE katika Ikulu ndogo ya Arusha na KUMPONGEZA kwa...
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya wanawake Duniani, wanawake wa kata ya Rutamba halmashauri ya manispaa ya Lindi wamelia na changamoto ya uchakavu wa miundombinu katika kituo cha afya cha Rutamba...
Wizara za Muungano zinajulikana ni:-
1. Fedha.
2. Mambo ya Nje.
3. Mambo ya Ndani.
4. Ulinzi.
5. Elimu (mitihani na mtaala tu)
Wizara za muungano zinaweza ku-wazirishwa (waziri) toka upande...
Waziri Bashungwa alianzia Wizara ya Kilimo kama Naibu Waziri
Akawa Waziri wa Viwanda na Biashara
Akawa Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo
Akawa Waziri wa Utamaduni Sanaa na...
Ikiwa ni miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani kuna mengi ameyafanya lakini kuruhusu chanjo ya UVIKO-19 nchini na yeye kuwa wa kwanza kuchoma chanjo mbele ya watanzania wote...
Akiongea mkutanoni Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa Mchungaji Msigwa, amesema yeye aliingia Bungeni kwa mara ya kwanza 2010 na ni mwaka huo CCM walibuni huu usafiri wa Bodaboda.
Mchungaji...
Mtu akifanya jambo jema ni heri kumshukuru.
Mbowe na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia, historia itawakumbuka daima hapa Tanzania na dunia kwa ujumla.
Mmeliunganisha taifa la...
Kuna watu wengi(wafanyabiashara na wafanyakazi) wananununua bodaboda na kwawakabidhi vijana kwa mkataba ambao huwaletea makusanyo kila siku au kila wiki. Hawa hawawezi kukubaliana na Lema kamwe...
Lema amekuwa nje ya nchi kwa muda mrefu. Karudi ana mawazo ya ajabu ajabu na bado anafikiri yupo kipindi cha Magufuli, kile cha ugomvi ugomvi na mivutano. Anachoongea sasa ni kama samaki...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Kusini Unguja Latifa Juwakali alishiriki halfla ya Uzinduzi wa ugawaji wa sare za Skuli kwa watoto wenye mahitaji Maalum katika Skuli ya Uzini, Wilaya ya Kati, Kusini...
KUNA mambo yanafanyika nchi ambayo unaweza kuyakuta katika Banana Republic tu au "nchi ya kusadikika" isiyojali wala kuzingatia haki na misingi ya kisheria.
Wakati Rais Samia Suluhu Hassan...
BODABODA ni jina maarufu lililozoeleka nchini Tanzania likimaanisha ni Dereva anayeendesha chombo cha moto aina ya Pikipiki, ambapo kwa siku za nyuma iliaminika ni usafiri ambao anaweza kutumia...