Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bado wanauswahiba na zito na bado Halima Mdee ananguvu kisiasa hasa kwa upande wa kina mama hapa nchini hususani Kawe. Yeye na kundi lake wakiibukia wazalendo na wakamomaa wanaweza kuwa chama...
8 Reactions
57 Replies
6K Views
Mbowe akitolea mfano chama cha ANC kinaweza kumng'oa kiongozi hata kama tayari yuko Ikulu, ameitaka CCM pia iwe na mfumo huo akilalamikia tabu ambazo wapinzani wamepitishwa miaka michache...
2 Reactions
4 Replies
567 Views
Kuna waungwana humu kwa dhati kabisa walithubutu kusema baada ya Mawakili wa CHADEMA kufunga kuwahoji maswali akina Halima et al kuwa kesho wanasamehewa na kuendelea kuwa ndani ya Bunge. Rais...
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA. Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani...
3 Reactions
94 Replies
6K Views
LEO TENA KTK UNTOLD STORIES OF ZAMA ZA GIZA by Boniface Jacob Tuelekee huko Kaskazini Mwa Tz, Mkoani Kilimanjaro,Wilaya ya Hai. Ilikuwa Siku ya Ijumaa ya Tarehe 30 October 2020 ikiwa ni Siku 2...
15 Reactions
28 Replies
3K Views
Namshukuru sana Lema kwa kuona tatizo la bodaboda na kuliongelea. Kimsingi jamaa yuko sahihi sema siasa zitaaribu hoja yake ya msingi. Bodaboda ni tatizo kubwa sana nchini, miaka 20 ijayo ilo...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati mikutano ya kisiasa imezuiliwa na vyama vya siasa vimefarakana Mataga walikuwa wakiunga mkono na wakisema hiyo hali hiyo ni muhimu ili watu wafanye kazi. Kwamba wapinzani wasifanye siasa...
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Nawasalimu waungwana wote wa JF, Nimesoma mahali kuwa CHADEMA wameanza kupokea ruzuku za kila mwezi zinazotokana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Ulikuwa ni msimamo wa CHADEMA kuwa uchaguzi mkuu...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Kumekuwa na mijadala mikubwa ikiendelea nchini sasa kuhusu yale yanayoitwa maridhiano ya kisiasa. Kimsingi ni maridhiano kati ya chama tawala na vyama vya upinzani. Lakini haikupaswa kuwa hivyo...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Upinzani nchi hii umekomaa na kuota mizizi kiasi kwamba ni vigumu kufuta upinzani hapa nchini na ndio maana Mwendazake alifeli vibaya katika adhma yake ya kutaka kuua upinzani(kafa yeye kaacha...
18 Reactions
63 Replies
4K Views
Haya Sasa hali inazidi kuwa Tete Kenya.. Chini ya mwaka mmja Kenya inakumbwa na upungufu wa mafuta,Tanzania Haijawahi kimbwa hata siku Moja ukiacha zama za Jiwe. Ikumbukwe Kenya inaongozwa na...
3 Reactions
43 Replies
2K Views
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya siku ya wanawake wa Chadema (BAWACHA) kitaifa itakayofanyika mkoani Kilimanjaro Machi 8, 2023. Mwenyekiti...
1 Reactions
11 Replies
875 Views
Kuna kitu hakiko sawa na kinaenda kutolewa ufafanuzi muda mfupi ujao. Nadhani hii haikuwepo katika ratiba yake ila ndugu Godbless Lema anaitisha mkutano wa hadhara wa dharula, ngoja tuone na mlio...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Utaratibu wa viongozi waandamizi waliokihama chama kurejea ni tofauti na Ule wa Wanachama wa kawaida Mbowe amesema iwapo Dr Slaa anatamani kurejea Chadema...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo. Kigwangalla amesema amepokea kwa...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Wagalatia.3:1-14. Enyi Wagalatia msio na akili, ni nani aliyewaloga, ninyi ambao Yesu Kristo aliwekwa wazi mbele ya macho yenu ya kuwa amesulibiwa? Nataka kujifunza neno hili moja kwenu. Je...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika nchi hii mfumo wa tuhuma, mashitaka na kesi unaweza kuanza na wanasiasia. Ni kawaida kabisa kusikia DC, RC, Waziri au Rais wakiamuru mtu au watu wakamatwe na vyombo dola katika mikutano ya...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Ni taarifa ambayo bado inafanyiwa kazi ila kwa habari zilizopo ni kuwa kuna maofisa wa moja ya mashirika ya uma wamekutwa India. Na walipohojiwa wanafanya nini wamejibu wameenda kujifunza...
4 Reactions
6 Replies
473 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Usa River Mkoani Arusha leo tarehe 05 Machi, 2023 akiwa njiani kurejea jijini Dodoma baada ya kufunga kikao...
5 Reactions
104 Replies
8K Views
Rushwa ni hali ya mtu kutenda au kutokutenda jambo fulani kwa mtu au kikundi cha cha watu kwa nia ya kujipatia faida binafsi, Baada ya kupatiwa au kuahidiwa kupatiwa kiasi fulani cha fedha au vitu...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…