Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,502
- 4,408
Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA.
Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano wa kurudi kanda ileile baada ya siku tatu kutokea Arusha nafikiri ni jambo gumu ila linawezekana. Pia, yawezekana kuna mialiko mingine karibu zaidi kapatiwa kulingana na ratiba yake.
Yote kwa yote, kuhudhuria na kutohudhuria kunatokana na ratiba yake. Tuachane na kutohudhuria na sasa tujikite kwenye kuhudhuria.
Kuhudhuria kwa Rais Samia kwenye kongamano hilo kwa mtazamo wangu itahitimisha ile safari ndefu ya ni nini hatima ya Mdee na wenzake.
Siku hiyo Rais atatangaza upatinisho wa Mdee na wenzake na Chama chao. Baada ya Rais kuwapatanisha , Mbowe atatangaza kuwakuba Tena kama wanachama halali na hapo 'handshake' itafanyika na hatima ya Mdee na wenzake itajulikana.
Kitendo hicho kitawatesha sana wanachama wa kawaida wa CHADEMA na watapitia mateso makali sana. Na hapo ndipo swali litaibuka, Je kurejea kwa Mdee ni asset au liability?
Sitaki kusema leo kwamba ni asset au ni liability kwa sababu mateso ya wanaCHADEMA yataongezeka zaidi.
Kitakachofuata ni kwamba kesi ya Mdee na wenzake itafutwa na CHADEMA hawatoonesha nia ya kuendelea nayo.