Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dr Kigwangala amesema wakati wote alipokuwa Waziri alikuwa analindwa na Walinzi kutoka Ikulu na hakuruhusiwa kutembea peke yake Kigwangala amesema ni makosa mawaziri kutokea Kwenye Ripoti ya CAG...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) Mkoa wa Kilimanjaro na mjumbe wa Halmashauri Kuu Taifa, Grace Kiwelu ameeleza mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan namna viongozi wa baraza hilo...
1 Reactions
1 Replies
925 Views
Ukweli lazima usemwe Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Tukirudi nyuma wakati mama yetu anaingia bila shaka alianza vizuri sana ila alianza kwenda mrama baada ya kuingizwa kingi kwenye tukio...
15 Reactions
39 Replies
2K Views
Bila kusahau hii itakuwa ni mara ya pili kwa upinzani kwenda ikulu kuonana na raisi kwajili ya maswala haya haya ya katiba. Wakaambulia zarau na kejeli toka katika chama anachokiongoza raisi...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwa muda mrefu sasa tangu vikao vya viongozi wakuu wa CCM na CHADEMA wameanza mazungumzo ambayo leo yamezaa matunda ya angalau Viongozi Wakuu wa Upinzani na Viongozi Wakuu wa CCM kukutana kwenye...
0 Reactions
0 Replies
450 Views
Kuunga Juhudi Ilikuwa Wapinzani hasa kutoka CHADEMA wanajisajili kwa komredi Polepole na kuhamishiwa CCM ambako walipewa Vyeo na zawadi nyingine. Maridhiano ndio kama Mbowe, Zitto Kabwe, Tundu...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Kama ulivyokuwa uhuru wa kwenye makaratasi basi tambua kuna upinzani wa kwenye makaratasi. Jukumu kubwa la upinzani ni kutoa alternative solutions/polices/choices dhidi ya chama kilichokuwepo...
19 Reactions
73 Replies
3K Views
Leo Chadema wanaanza mikutano yao ya kisiasa Jijini Mwanza ambapo ndio kitovu cha kanda ya Ziwa,takwimu za sensa kwa namba zinaitaja Mwanza kama mkoa wenye watu wengi kuliko mikoa yote,Mwanza...
4 Reactions
40 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amemsihi Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amuepuke Mtu yoyote anayejiita Chawa wake kwakuwa Machawa wengi wamejaa unafiki na uongo na hawana nia njema...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, ambaye pia ni Rais wa Mbeya, kibopa Joseph Mbilinyi, bila kumung'unya maneno, amewakandia wafanyabiashara wa Iringa kwa kujipendekeza CCM, huku akidai jambo hilo...
19 Reactions
92 Replies
5K Views
Anaandika Mo Mlimwengu. Muleba my mother land, Muleba ni nyumbani na Muleba ni mahali ambapo kitovu changu kilizikwa baada ya kuzaliwa. Wahenga wanasema ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni...
0 Reactions
10 Replies
944 Views
Kuanzia kwenye hoja na ku connect na wafanyabiashara Lema huwezi kumlinganisha kabisa na Gambo. Uwezo wa kujenga hoja za Arusha na kitaifa ni muhimu sana kwa Arusha. Sababu kubwa Arusha...
1 Reactions
4 Replies
709 Views
MBUNGE WA WAFANYAKAZI MHE. JANEJELLY NTATE AZUNGUMZA NA WATUMISHI OFISI YA RAS (KATIBU TAWALA MKOA) DAR ES SALAAM Mbunge wa Viti Maalum Wafanyakazi Taifa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010 kama niko sahihi, Jimbo Arusha mjini lilikumbwa na kumezwa na usemi "Wao wanapesa sisi tuna Mungu". Usemi huu dhahiri ukaja kutumika kufanya kampeni ya kijana mmoja...
1 Reactions
1 Replies
550 Views
Katika nchi zote za Afrika Mashariki zinazoizunguka Tanzania kwa sasa wapinzani wa serikali wanapitishwa katika kikaangio cha moto mkali na tawala zao. Serikali zililizopo madarakani zinawaminya...
0 Reactions
3 Replies
752 Views
Huo ndio ukweli usiopingika. Chadema sasa wamejirasmisha ni CCM B. Maneno haya yalifamkwa na Mzee Mwinyi mwaka 1995 leo yanatimia kwa macho ya watanzania. Act wazalendo wanazidi kupaa na kupaa na...
0 Reactions
2 Replies
520 Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo 5/3/2023, muda huu kinaungurumisha Mkutano wa hadhara huko Karatu, Vijana Wapambanaji ndio wanakinukisha Jukwaani wakisaidiwa...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Media mbalimbali za kimataifa zipo mjini Moshi kuripoti Kongamano la BAWACHA ambalo mgeni rasmi atakuwa mh Rais Samia Miongoni mwa media Hizo ni RT, DW, BBC, Sky news, Citizen tv nk Kongamano...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Hawa ni maaskofu wawili wa Anglikana, mmoja mstaafu na pia amewahi kuwa kiongozi wa Anglikana Tanzania. Huyu ni Askofu Donald Mtetemela na sasa ni mjumbe wa bunge maalumu la katiba. Askofu...
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli. Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom