Kuna waungwana humu kwa dhati kabisa walithubutu kusema baada ya Mawakili wa CHADEMA kufunga kuwahoji maswali akina Halima et al kuwa kesho wanasamehewa na kuendelea kuwa ndani ya Bunge.
Rais kasemaje? Tuache ule mkondo uliopo unaoshughulikia covid 19 ufike mwisho, hawezi kuweka mkono wake pale!
Rais kasemaje? Tuache ule mkondo uliopo unaoshughulikia covid 19 ufike mwisho, hawezi kuweka mkono wake pale!