Kigwangalla: Rais anaweza kuwafutia kesi lakini suala la kulipa mikopo ya benki ni jukumu lao la msingi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,488
20,445
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.

Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala kutishiwa maisha, bali ilikuwa ni madeni ya benki.

Kwa kuwa hamna kesi tena inayoendelea basi wajitahidi sana kumalizia madeni yao, maana mama hawezi kufuta madeni pia," alisema Kigwangalla.
 
Yeye Kigwangala anamnanga Mh Rais waziwazi kwamba ni muongo? Kama alisema amewafutia kesi yeye kama nani aseme kwamba madeni ndo yaliwakimbiza? Au na yeye alikuwa kwenye kile kikosi cha kuchinja chinja watu kwamba ilimuuma sana baada ya Lema kuondoka!?

Yumkini Kigwangala alifurahia sana kwa Lisu kupigwa risasi! Very sad!

Maana hata Lissu alipotoa alert kuna watu wanamfuata fuata hawaelewi walimbeza sana! Hadi masaibu yalimpompata!!

Watu wenye kauli zisizolinda utu na maisha ya watu ni hatari sana kwa uongozi na ustawi wa watu!! Tutajua tu nani kiongozi na nani yupo kwa matumbo na familia zao!!

Ahsante Mama Samia kwa utu!! Tuondolee mashetani wote 2025!
 
Bingwa la kufikiria nje ya box, mbunge wa Nzega mh Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo....
Huyo huwa ana bifu na watu. Shida yake roho yake ni mbaya, kwa hiyo huwa huhesabu mabaya tu ya wenzake lakini ya kwake huwa hayahesabu.

Madeni ya Lema yeye hayamhusu bali yanamhusu yeye. Lema its personal but not of public interest. Its an internal issue with his family. Sisi hayatuhusu.
 
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.

Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala kutishiwa maisha, bali ilikuwa ni madeni ya benki.

Kwa kuwa hamna kesi tena inayoendelea basi wajitahidi sana kumalizia madeni yao, maana mama hawezi kufuta madeni pia," alisema Kigwangalla.
Madeni hayakuwa ya kubambikiwa kama kesi zenyewe lakini🤔
 
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.

Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala kutishiwa maisha, bali ilikuwa ni madeni ya benki.

Kwa kuwa hamna kesi tena inayoendelea basi wajitahidi sana kumalizia madeni yao, maana mama hawezi kufuta madeni pia," alisema Kigwangalla.
Hii kesi yake nayo ilifutwa na Rais ?

Watu%20wameanza%20kufukua%20makaburi%20_joy__joy__joy_%20kosa%20la%20%20%40hamisi_kigwangalla%...jpg
 
Hoja dhaifu sana za kiuropokaji tu, huwezi fungwa wala kupigwa risasi kwa deni la benki, sasa mtu ukimbie nchi kwa sababu zipi??
 
Bingwa la kufikiria nje ya box, Mbunge wa Nzega Kigwangallah ameenda live kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram na kujibu maswali kadhaa ya watu wake wa Jimbo.

Kigwangalla amesema amepokea kwa mikono miwili kufutiwa kesi Lema, "Suala la Lema kukimbia nchi halikuwa sababu ya kesi wala kutishiwa maisha, bali ilikuwa ni madeni ya benki.

Kwa kuwa hamna kesi tena inayoendelea basi wajitahidi sana kumalizia madeni yao, maana mama hawezi kufuta madeni pia," alisema Kigwangalla.

Madeni ya mtu ni personal sio suala la umma. Yeye mbona alitaka Mo amkopeshe pikipiki.
 
Back
Top Bottom