johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema Utaratibu wa viongozi waandamizi waliokihama chama kurejea ni tofauti na Ule wa Wanachama wa kawaida
Mbowe amesema iwapo Dr Slaa anatamani kurejea Chadema kama inavyozungumzwa na Wengi basi itampasa kwanza aongee na viongozi Ili wajiridhishe naye
Hata hivyo Mkurugenzi wa Chadema mh John Mrema amesema kwa sasa hawezi kuthibitisha kama Dr Slaa ni mwanachama halali wa Chadema ama la kwa sababu Usajili wa Wanachama unafanyika kidigitali
Source: Mwananchi