Tukiwaambia Rais Samia ni Intelligent muwe mnaelewa, Oneni Kenya wapinzani walikoshika Nchi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,035
49,718
Haya Sasa hali inazidi kuwa Tete Kenya..

Chini ya mwaka mmja Kenya inakumbwa na upungufu wa mafuta,Tanzania Haijawahi kimbwa hata siku Moja ukiacha zama za Jiwe.

Ikumbukwe Kenya inaongozwa na Wapinzani na hii ni mara ya pili wanakumbwa na shida ya mafuta.

Mungu mbariki Rais Wetu na mpe maarifa na akili zaidi.

=====

Kenyan consumers are facing fresh fuel shortages as some major oil marketing companies (OMCs) in Nairobi exhausted their stocks and turned away motorists amid serious cash-flow challenges triggered by dollar shortages.

A spot-check by The EastAfrican revealed that several filling stations in parts of the Kenyan capital Nairobi had run out of petroleum products from the weekend, with those owned by Vivo Energy among the hardest hit.

By Sunday afternoon, several outlets by Vivo under the Shell brand had run out of super petrol, with attendants giving motorists the option of buying the company’s V-Power brand. The situation deteriorated Monday with some of the Shell outlets reporting total depletion of products including super petrol, V-Power and diesel.

Vivo did not respond to our queries over the scarcity of fuel at its retail outlets even though insiders and an industry association attributed the situation to a dollar shortage.

Insufficient dollars
“There is sufficient fuel at the depots but the major oil companies are not evacuating it because they do not have sufficient dollars,” said Petroleum Outlets Association of Kenya (POAK) Chairman Martin Chomba.

Source: The East African
 
Upinzania unaingiaje hapo
 
IQ ya Samia inagonga kwenye 120 trust me.

Tofauti kabisa na 60 ya yule chizi aliyesema kaishinda corona hadi ikamchomoa roho.
Wengi Wana mabichwa makubwa na ma vyeti ila kwenye akili za utambuzi IQ ni zero yaani hawawezi kujiongeza Wala kujua wafanye nini wakikwama na vile Wana ego za mavyeti ndio kabisaa wanapoteana..

Nawakumbusha tuu chini ya Jiwe kukiwa hakuna hata crisis yeyeote Duniani mafuta yaliadimika mara 2 ukiachikia mbali Sukari na saraju nk
 
Taja mwaka wa jiwe amnao tz iliwahi kukumbwa na uhaba wa mafuta!

Vinginevyo jifungue tu hiyo mimba aliyokuachia!
We mbwege nini au umepungukiwa na kumbukumbu?

Mwaka 2017 na 2018 mafuta yaliadimika .

Sukari ndio ilianza,

Chanjo za Watoto plus condom,

Saruji mwaka 2019/2020.
 
Wengi Wana mabichwa makubwa na ma vyeti ila kwenye akili za utambuzi IQ ni zero yaani hawawezi kujiongeza Wala kujua wafanye nini wakikwama na vile Wana ego za mavyeti ndio kabisaa wanapoteana..

Nawakumbusha tuu chini ya Jiwe kukiwa hakuna hata crisis yeyeote Duniani mafuta yaliadimika mara 2 ukiachikia mbali Sukari na saraju nk
Sahihi.
 
Unaandika mambo usioyelewa Kenya wana mfumo mwingine kabisa, nitakupa mfano Ruto wakati ni Makamu wa raisi aligombana na bosi wake ambaye ni Raisi wa nchi Uhuru na hata mpaka akaanzisha Chama kingine na kikasajiliwa akagombea akashinda uraisi sasa mwambie Makamu wa raisi Mpango hata apishane na bosi wake kidogo tu kwa maneno halafu uone kama hajamfwata Ndugai mara moja.

Kenya mtu yoyote anaweza kuanzisha Chama cha Siasa, Tanzania raisi akigoma hakuna Chama kipya kinaweza kupata usajili ndiyo maana Upinzani (chadema na Zito) wameshashikwa waliobakia wote akina Mbatia wamefurumushwa kwenye vyama vyao na Serikali ( Msajili) sababu walitaka kuwa Upinzani.

Hivyo siyo swala la intelligence bali ni mfumo Tanzania hata mtoto wa miaka 5 ukimuapisha kuwa raisi anaweza kufanya hao unayoyaita “intelligent”, …
 
Back
Top Bottom