Hili tukio la Simba mfalme kule Serengeti halipiti hivihivi.
Kuna fundisho kubwa sana linajionyeaha Kwa uwazi sana juu ya umwamba wa kukaa Madarakani muda mrefu Huku umechokwa na unaowatawala...
Nimeangalia Afrika kusini Rais kapigiwa mizinga, gwaride pamoja na kukagua. Haya mambo tumeyarithi kwa wazungu ambao wenyewe walishaachana nayo haya.
Sijui kwa nini waafrika tunapenda kukumbatia...
Amini naawaambieni mambo ni Magumu mno huku kitaa lakini tuliozoea kutusemea wameshalamba asali na hawajui wafanye nini. Wametugeuka sasa wanaona kazi zetu za bodaboda na uvuvi ni za hovyo.
Bei...
Wataalamu kutoka Taasisi ya kimataifa ya Moody's inayojihusisha kuzifanyia tathimini Nchi mbalimbali dunia ili kujua uwezo wao wa kukopesheka katika masoko ya fedha ya Kimataifa, wamewasili Nchini...
Uongozi wa Kampuni ya uzalishaji, usambazaji na uuzaji wa mbolea ya Minjingu Mines and Fertiliser Limited (MMFL) umefafanua kuhusu tuhuma zilizoelekezwa kwa Kampuni hiyo kuhusu upatikanaji wa...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basilla Mwanukuzi ameandika waraka mzito kuhusu utendaji dhaifu wa watumishi wa Halmashauri ambao wanahujumu miradi huku wakiendelea kukingiwa kifua na mamlaka...
Mwaka 2018 serikali iliyapandisha hadhi mapori ya akiba matano (5) yaliyomo Mkoani Kagera, kutokana na maamuzi hayo mapori hayo matano yalitengeneza hifadhi mbili za Taifa ambapo hifadhi ya...
Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi (Uvuvi), Profesa Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 266.7 kugharamia ujenzi wa mradi wa Bandari ya Uvuvi...
Kwa siku za karibuni Meya wa Kinondoni, mwenzetu Kumbilamoto amekuwa maarufu au tuseme wazi ametafuta umaarufu kwa kufanya kazi aidha za Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama au OCD kabisa...
Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi...
Wadau nawasabahi.
Nimeona niulize tu hatua ambazo zilichukuliwa kwa wale waliohusika walitaka kuchota mabil ya fedha kutoka Benki Kuu wakati wa hekaheka za kifo cha Rais Magufuli walichukuliwa...
Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi.
Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii...
Tangu mfumo wa vyama vingi uanze Tanzania, hatujawahi kuwa na Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi aliyekuwa neutral, na aliyetenda haki kwa 100%. Lakini katika uovu wote, hakuna mkurugenzi wa Tume ya...
MBUNGE MHE. ENG. MWANAISHA ULENGE ATOA MCHANGO WAKE KATIKA MKUTANO WA 146 IPU
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Eng. Mwanaisha Ng'anzi Ulenge ashiriki katika Mkutano wa 146...
Unaweza kukuta Watu wanadhibitiana ukadhani Wanaridhiana haya ni mambo mawili tofauti
Kikosi Kazi cha Prof Mkandala kimsingi ndio kiliridhiana na CCM na ndio sababu hata Ripoti iliandaliwa na...
Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate amempongeza Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujikita kuangazia katika...
"ROSE Mboma, mdogo wake wa mwisho Mkuu wa Majeshi Mstaafu (CDF) Generali Robert Mbona amekamatwa na Polisi wa Serikali ya Rais Magufuli jijini Mbeya kwa "kosa" la kusambaza picha ya binti aliyevaa...
Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga.
Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi.
Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama...
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Rashid Kawawa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani kwa kutekeleza Miradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.