Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mikoa yan kanda ya juu kusini kuna Mbeya, Iringa, Njombe , Rukwa na Songwe. Hakuna shaka kwamba unapokuja ukanda wa nyanza za juu kusini kwa muda mrefu wanyakyusa ndio wamekuwa kabila lenye...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea maelezo kuhusu Kituo cha Freedom Park ambacho kimehifadhi kumbukumbu za Wapigania uhuru wa Afrika Kusini, kutoka kwa...
2 Reactions
0 Replies
968 Views
Watawala mbingu haiwahusu ukatiri huu ata shetani hawezikuufanya. Mnanunua magari ya kifahari uku wenye nchi hawana maji vijijini, mnalazimisha wazazi kununua chakula mashuleni wakati kodi zetu...
2 Reactions
4 Replies
490 Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ameshiriki Mkutano wa pamoja wa Wafanyabiashara wa Tanzania na Afrika Kusini uliofanyika nchini Afrika Kusini, chini ya Marais...
0 Reactions
0 Replies
446 Views
Ni karibu miaka miwili sasa tangu taifa lilipoondokewa na aliyekuwa kiongozi mkuu wa nchi, kama taifa tumeshuhudia mijadala ya kihisia na kimantiki kuhusiana na mambo mawili. Kwanza ni kuhusu...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Wadau. Kutoka Njombe,Wabunge,Madiwani na Viongozi wa CCM wa Mkoa wa Njombe Wamepiga magoti Kama ishara ya Shukrani kwa Mh.Rais Dk.Samia kwa kutimiza ahadi yake ya kuanza ujenzi wa Barabara...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Aikael Mbowe amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo na kusomewa mashtaka mawili likiwemo la Ugaidi. Mbowe...
33 Reactions
609 Replies
53K Views
Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa...
4 Reactions
4 Replies
667 Views
Hayati Magufuli amefanya kazi nzuri ya kuleta nidhamu katika nchi hii. Ametuletea sifa Kimatifa. Ametuokoa na corona. Amepiga vita ufisadi. Hata bunge la Australia walimpongeza Magufuli.
1 Reactions
4 Replies
402 Views
Mhadhiri mwandamizi wa Uchumi na Siasa pale UDSM Dr Richard Mbunda amesema kwa mujibu wa Takwimu zilizopo, Tanzania haijawahi kufikia Uchumi mdogo wa Kati kama ilivyokuwa inatangaza na Serikali ya...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu, kwema Kama mnavojua kuna inflation kubwa kila nchi duniani nimeweka screenshot chache kuonyesha hilo. Sasa watu wasioelewa wanasema inflation imesababishwa na Samia na Magufuli angekuwepo...
11 Reactions
155 Replies
8K Views
Kila nikikaa naona kama kuna loose loose Kila mahali katika uongozi wa Taifa letu. Ni Kama kila mtu hana matumaini na hakika ya kesho yake na kuwa serikali yake itakuja na lipi. Magufuli...
3 Reactions
40 Replies
2K Views
Habari Wana jukwaa.. Moja kwa Moja kwenye mada. -Prof. Abel Makubi alikuwa Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Kila mtu alikuwa anaona kazi nzuri alivyokuwa anaifanya.. -Tickson Nzunda alikuwa Katibu...
21 Reactions
178 Replies
21K Views
Na WAMJW - Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imeweka mkakati wa kusogeza karibu huduma za tiba asili kwa jamii ambazo sasa dawa hizo asilia...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake. Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba...
29 Reactions
133 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Waterkloof Air Force Base Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya Kiserikali nchini Afrika...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Freeman Mbowe, ambaye imethibitishwa kwamba ni Mwamba wa siasa Nchini Tanzania na kiongozi anayetajwa kama Mwanasiasa wa kupigiwa mfano Barani Africa na...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Naomba mwenye uelewa anieleweshe hii kitaalam inamaanisha nini? Kikao na Rais - Moshi Maandamano - Mwanza Chadema mipango yao hii vipi mwaionaje.
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu ametunukiwa nishani ya Heshima ya nchi ya Afrika ya Kusini (National order of South Africa) na Rais wa nchi hiyo Cyril Ramaphosa...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Najua siku Hizi kuna Uchumi Kilimo na Kilimo Biashara Naomba kujua Serikali inaweza kutumia mbinu gani ili kuziridhisha pande zote mbili kwenye mzunguko wa Kilimo yaani Mkulima na Mlaji...
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Back
Top Bottom