Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Lema Toa Elimu Badala ya kutukana! Ndugu Godbless Lema ambae ni Muishiwa Mbunge wa Arusha zamani. (sio mheshimiwa) maana hana huo ubunge kwa sasa. Anaendelea kuzunguka nchini akitukana makundi...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Huyu Lema tangu atoke Canada anabwajaja maneno bila kutafakari eti ugali ni chakula cha masikini sijui akiwa huko alikula maharage ya wapi huyu. Hivi kwa umri wake na kutembelea maeneo ya...
17 Reactions
236 Replies
13K Views
Yaani Serikali inaacha "Tozo" kwa Walalahoi na Kuondoa kodi kwa Matajiri wapya Ni wazi kabisa,serikali ya "CCM" inawaondolea mzigo matajiri na kuwabebesha mzigo huo wananchi maskini na wa kipato...
1 Reactions
11 Replies
967 Views
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema Mh Lema ameendelea na Utetezi wake kwa vijana na zamu hii amemvaa Spika mstaafu Mh Anna Makinda. Lema amesema "Anna Makinda anasema Wananchi wafundishwe namna...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
"Muungano ule (UKAWA-2015) ulilenga kuviua vyama vingine na Chadema ndio ilikuwa namba moja kuvimaliza vyama vingine, NCCR Mageuzi haitarudia makosa yale" Joseph Selasini, Makamu M/kiti NCCR...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
MBUNGE WA WAFANYAKAZI JANEJELLY NTATE AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI KWA ALIYOYAFANYA KWA WATUMISHI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini...
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Rais Samia amteua Mizengo Pinda kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Kumshauri Rais kuhusu Utekelezaji wa Masuala ya Kilimo na Chakula
20 Reactions
63 Replies
5K Views
Taifa lolote duniani ni lazima liwe na siri na siri hizo lazima zilindwe hata kwa damu. Yes sio kila kitu unapokuwa kiongozi unapaswa kukiongea hata kama unachosema ukweli ila kikatiba na...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Chama Wananchi CUF, Prof Ibrahim Lipumba amesema kuwa, "Bila ya kuwa na UKAWA mpya kuelekea 2025 hata hao CHADEMA wanaojiona wakubwa wanaweza kupata mbunge mmoja tena kama 2020, CCM...
13 Reactions
90 Replies
5K Views
WAKILI STEPHEN BYABATO(MB) MGENI RASMI MKUTANO WA CCM BUKOBA MJINI. Naibu Waziri wa Nishati na Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Mhe. Stephen Byabato tarehe 12 Machi, 2023 alikuwa mgeni rasmi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimefuatilia mikutano mbalimbali tunayofanya hapa nchini sioni muitikio wowote kutoka kwa wananchi kuonyesha kuwa wanakubaliana na hii mikutano. Watu hawana uhakika wa kula, kupeleka watoto shule...
15 Reactions
110 Replies
4K Views
Mzee wa anga huyooooooooooooooo. ================== PRESIDENT KIKWETE VISITS THE BILL GATES FOUNDATION AND BOEING PLANT IN SEATTLE President Jakaya Mrisho Kikwete and his delegation are...
4 Reactions
121 Replies
25K Views
Tuwe wakweli hakuna aliyeamini kwamba kuna siku Chadema itakuwa kama TLP na Mwamba kama Mrema Kwenye Siasa kuweka akiba ya maneno ni muhimu Mlale Unono!
10 Reactions
62 Replies
2K Views
Aweso Angalia hii video utuambie miaka 61 baada ya Uhuru ndipo tulikofikia?
0 Reactions
9 Replies
916 Views
Tumefika hapa tulipo kwa sababu hatuna mifumo ya kuongoza nchi. Inashangaza kuona anatokea mtu mmoja mjinga anavunja katiba ya nchi na bado anaendelea kuwa kiongozi. Hatuwezi kupiga hatua kama...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Raisi wa JMT Mama Samia kwanza shikamoo. Wadau wa JF na Watanzania wote, nina wasalimu kwa jina la JMT. Mungu anaipenda Tanzania hata amekuchagua wewe Mama kuwa Raisi wetu. Nimefurahi kwamba...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni...
0 Reactions
5 Replies
777 Views
Jana, Machi 13 nilipata wasaa wa kusoma hotuba ya Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa na Mfumo na Ukomo wa Bajeti ya Mwaka 2022/23, na Vipaumbele vya Kibajeti kwa mwaka ujao wa fedha mbele...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Miaka ya nyuma baada ya hayati Benjamini Mkapa kuingia madarakani tulianza kusikia juu ya ukwapuaji wa pesa za umma uliofanyika. Moja ya watuhumiwa alikuwa ni Prof. Kighoma Malima ambaye...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukiwachambua Viongozi wa Dunia hii falsafa na Tabia Zao lazima ziangukie kwa mmoja Kati ya Kaisari Agusto, Mfalme Herode au Gavana Pontio Pilato Nitaleta kwenu historia Zao ila kwa wasiomjua...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom