Vita Rashid Kawawa apongeza na kuainisha aliyoyafanya kwa miaka miwili ya madarakani Rais Samia katika Jimbo la Namtumbo

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,903
945
Mbunge wa Jimbo la Namtumbo Mhe. Vita Rashid Kawawa amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani kwa kutekeleza Miradi katika sekta mbalimbali.

1. Mhe. Vita Rashid Kawawa anapongeza Miaka Miwili ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi katika Sekta ya Maji yenye thamani ya jumla ya Shilingi Bilioni 2,937,464,163/=

2. Mhe. Vita Rashid Kawawa anapongeza Miaka Miwili ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi katika Sekta ya Elimu yenye jumla ya Shilingi Bilioni 7,564,200,00/=

3. Mhe. Vita Rashid Kawawa anapongeza Miaka Miwili ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi katika Sekta ya Afya yenye jumla ya Shilingi Bilioni 5,318,848,447/=

4. Mhe. Vita Rashid Kawawa anapongeza Miaka Miwili ya Rais Samia kwa kutekeleza Miradi ya TARURA yenye jumla ya Shilingi Bilioni 2,573,370,000/=

ASANTE KWA KUENDELEA KUTEKELEZA SERA YA ELIMU BILA MALIPO

#SautiYaNamtumbo
#KaziIendelee

WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.35(2).jpeg
WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.35(3).jpeg
WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.36(3).jpeg
WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.36(4).jpeg
WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.38(2).jpeg
WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.38(3).jpeg
WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.37(2).jpeg
WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.37(3).jpeg
WhatsApp Image 2023-03-15 at 11.21.36(6).jpeg
 
Back
Top Bottom