Kifo cha Simba Bob Junior na Anguko la CCM toka Madarakani

Kifo cha Simba Bob Junior na Anguko la CCM toka Madarakani

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,044
Reaction score
74,760
Hili tukio la Simba mfalme kule Serengeti halipiti hivihivi.

Kuna fundisho kubwa sana linajionyeaha Kwa uwazi sana juu ya umwamba wa kukaa Madarakani muda mrefu Huku umechokwa na unaowatawala hawakutaki Tena.

Na watakao kuondoa ni wale wale uwaitao wanangu, Kaa chonjo au jiweke pembeni mwenyewe.

 
Hirizi ya CCM ni mwenge thus jiwe alicheza nao ukamlipukia, ule unatakiwa kila mwaka ni lazima uwashwe.
 
Kwani simba wangapi ufa bila ccm kufa
Umeelewa lakini? Huyu alikuwa na utawala wa kibabe Huku hakibaliki na jamii yake kama ilivyo CCM hii.
Huyu ndio Bob Junior na wale waliowahi kutembelea Serengeti mara nyingi watakuwa wamepata simulizi zake
 
Mitano ya Simba junior, mitano ya anayekaimu, ndipo ije kumi ya AJAYE.

Hapo hesabu itakaa sawa.

Simba waheshimu Utaratibu wa kimahesabu ulioasisiwa tangu enzi na enzi.
 
Umeelewa lakini? Huyu alikuwa na utawala wa kibabe Huku hakibaliki na jamii yake kama ilivyo CCM hii.
Huyu ndio Bob Junior na wale waliowahi kutembelea Serengeti mara nyingi watakuwa wamepata simulizi zake
Kinabii ipo wazi ccm inaanguka 2025, i
 
Back
Top Bottom