JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,880
Nimeangalia Afrika kusini Rais kapigiwa mizinga, gwaride pamoja na kukagua. Haya mambo tumeyarithi kwa wazungu ambao wenyewe walishaachana nayo haya.
Sijui kwa nini waafrika tunapenda kukumbatia mambo ya kikoloni ambayo yanawapa watawala wetu uungu mtu.
Ukiona ziara za wazungu European union huko hakunaga hizi mbwembwe kabisa, Rais Biden anatua uwanjani anapokewa kwa kupeana mikono tu anaingia kwenye ndinga akifika ikulu anaingia chumba cha waandishi wa habarai moja kwa moja anapiga briefing pale na kupokea maswali mawili matatu anasepa.
Hakuna cha gwaride wala siju muheshimiwa raisi, makamu wa raisi, mheshimiwa spika sijui hakuna cha kumtambua nani wala nani, yeye akifika kwenye chumba cha mkutano hata awepo mfalme anaenda moja kwa moja kwenye maiki anapiga hotuba yake anaondoka.
Sisi waafrika kila anayepanda kwenye maiki anarudia majina ya viongozi wote waliopo ukumbini utakuta kila anayehutubia anamliza dakika 20 kutambulisha majina ya viongozi waliopo ndani ya chumba japo kuwa watangulizi wake waliohutubia walisha taja majina yote ukiachilia mbali master of ceremony ambaye tayari alisha tangulia kuwatambulisha wote.
View attachment 2553505