Huwa nikitizama hii picha ya Lissu huwa natokwa na machozi kuna watu makatili sana hapa duniani[emoji24][emoji24]
Hivi unaweza kumfanyia binadamu mwenzio hivi kweli? Kuna watu wana roho mbaya...
KAMATI YA MIUNDOMBINU YAHIMIZA NGUVU ZAIDI TAASISI YA TEKNOLOJIA YA UJENZI - ICoT
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu imeiagiza Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, kuongeza nguvu kwenye Taasisi ya...
Nakumbuka wakati wa Hayati Magufuli hata hapa mtandaoni kulikuwepo na watu ambao walikuwa wanapongeza hata mambo mabaya.
Wadau wengine walikuwa hata wakisema watu wanaopinga serikali wanajiteka...
Habari za Jumapili.
Wakuu mimi ni miongozi mwa watu ninaopenda wachapa kazi, mahiri, weledi na wanaojituma hasa kwenye professional zao.
Jana nikipitia video clip mbali mbali zilizosambaa kuhusu...
Thomas Sankara wa Bukinabe ambaye leo hii mabaki yake yamezikwa upya kwa heshima ya kijeshi ni kiongozi bora kuwahi kupatikana barani Afrika. Alifanya makubwa kwa taifa lake. Alipigania maslahi ya...
Wakuu hebu nijuzeni kwanini Wapemba waliowengi hawataki kabisa kusikia jina la Rais wa awamu ya tano ya Zanzibar, Rais Mstaafu Salmin Amour?
Ni jambo gani haswa Salmin Amour aliwafanyia hawa...
Matarajio ya watanzania wengi, haswa waliounganishwa katika gridi ya Taifa ilikuwa ni kusahau kabisa adha ya mgao wa umeme, Baada ya kujengwa kwa bomba la gesi kutoka Mtwara Dar es Salaam...
CHARLES JAMES SHANKLY
MIAKA miwili. Yes miaka miwili ya Mwanamke na Mama ambaye ameibeba Tanzania katika mazingira magumu na kuivusha.
Miaka miwili ya kunyooshewa kidole na wahafidhina lakini...
Wakati hayati Magufuli anataka kuanza ujenzi wa bwawa la Nyerere yaliibuka makundi mbalimbli kupinga ule ujenzi. Waliibuka watu wa mazingira, Waliibuka watu za haki za wanyama, Waliibuka watu...
DKT. SAMIZI AFANYA ZIARA JIMBONI, ACHANGIA ZAIDI YA MILIONI 3 UJENZI WA NYUMBA YA MGANGA WA KITUO CHA AFYA.
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi amefanya...
Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa...
Meya wa Jiji la Arusha, Maxmillian Matle Iranqhe amempongeza na kumshukuru Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Geoffrey Pinda kufuatia maelekezo yake aliyoyatoa kuwa Ujenzi wa...
Wakuu wadanganyika naomba kufahamu mwenye connection na mtaalam wa marope sababu naona accuracy yake ni 99.9%. Akiongea na boss jua boss hachomoi.
Sasa bandugu na mimi nina boss wangu nataka...
Kiongozi wa Chama ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema pindi stakapofariki Addo Shaibu ndiye atakayerithi mikoba yake
Kwa sasa Addo ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo.
Chanzo: Mwanahalisi Digital
Katika mchakato wa maridhiano baina ya CCM na CHADEMA Mbowe ameonekana kujipa nafasi ya usemaji, ameitumia, ameitumia sana, ameitumia sana kiasi cha kuanza kukokesea.
Mfano mzuri ni pale...
Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewaagiza Wakandarasi kutoka kampuni ya Luba, MUST na Ardhi ambao waligomea wito wake wa kufika katika eneo la mradi wa ujenzi wa hospitali ya Rufaa ya...
Kuna mchakato umeanza wa kutunga sheria mpya ya reli/au kuhuisha iliyopo ili "kuendana na wakati"....
Kwa kiasi kukubwa huenda lengo la sheria hii ni kuwezesha "wawekezaji" kujinufaisha na SGR...
Ikumbukwe Tundu Lissu yuko Ubelgiji kwa ajili ya kuhuisha VISA yake na pia kuonana na madaktari wake.
Taarifa zinasema Lissu atarejea nchini siku ya Jumapili 19/3/2023 tayari Kabisa kuendelea na...
Hapo mwanzo niliona mtu mwenye cheo aketiye barazani, aliyeamuru nani aongee na nani aketi chini. Nikaambiwa mtu huyu hatendi kama ilivyopaswa. Nikapewa ujumbe nimuonye mtu huyu kabla ya anguko...
Mnamo miaka ya mwisho ya uongozi wa awamu ya 4, aliyekuwa Rais wa awamu hiyo Jakaya Kikwete alinukuliwa akisema kwa kuwa tunaingia uchumi wa gesi, yeye ndo angekuwa Rais wa mwisho kuongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.