Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
2 Reactions
12 Replies
944 Views
KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA YARIDHISHWA NA JITIHADA ZA MLENGWA WA TASAF WILAYANI UYUI NA KUMCHANGIA 530,000/= KUMUWEZESHA KUKAMILISHA UJENZI WA NYUMBA YA KUISHI. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya...
0 Reactions
0 Replies
574 Views
Naona kimeibuka kikundi cha watu wanaolalamika kuwa mikutano ya CHADEMA inawapotezea watu muda wa kufanya kazi. Wapo wengine wanasema hiyo mikutano haina tija na ni upotevu wa hela za wananchi...
15 Reactions
25 Replies
2K Views
Watu wanahoji kwa nini Rais Magufuli anapeleka maendeleo kwao, Chato na Geita kwa ujumla, kama vile watu wa Chato au Geita hawastahili kupata maendeleo, sasa asipeleke Chato apeleke wapi...
18 Reactions
94 Replies
11K Views
Bunge la Kenya lipo kwenye mjadala wa kufanya mabadiliko makubwa ya Katiba yake kwa kinatajwa na muungano wa Kenya Kwanza ya Rais Ruto kuunganisha taifa, hii ni baada ya mpango wa Rais Kenyatta wa...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi ya siku tatu Jijini Dar es salaam ambapo Katika ziara hiyo atazindua miradi mbalimbali ya...
4 Reactions
50 Replies
7K Views
Taarifa Kutoka Ubalozi wa Tanzania Nchini Saudi Arabia: Ufafanuzi Kuhusu Uunganishaji wa Watanzania na Fursa za Ajira Nje ya Nchi.
0 Reactions
3 Replies
626 Views
Hello Wadau. Serikali ya Tanzania inapanga Kukopa sh.Bil.446 Kwa Ajili ya mradi wa Tasaf. Serikali imekuwa ikiendesha programme ya Tasaf Kwa miaka Sasa na lengo lake likielezwa kwamba ni kusaidia...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mohamed Mchengerwa amezindua boti ya utalii iitwayo TAWA SEA CRUISER katika Hifadhi ya Urithi wa Dunia Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara yaliyopo katika...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Baada ya kupata elimu ya kutosha kuhusu Hati Fungate za serikali na kuelewa nawashukuru wote waliochangia Ila nimetatizika na jambo Moja ambalo nalo ningeomba kufafanuliwa na wataalamu wa maswala...
0 Reactions
1 Replies
430 Views
Wafuasi wake walimpokea kwa mbwembwe, akawaahidi sasa amerudi Nyumbani. Alisema alikimbia nchi baada ya kupigiwa simu na marafiki muhimu na kumwambia akimbie ili kuokoa maisha yake! Muda wote...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Kuna watu huwa wananishangaza kuwafananisha hawa viongozi wawili. Wanachofanana ni kitu kimoja tu, uroho wa madaraka. Huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hakuna agenda nyingine bali uroho wa...
28 Reactions
198 Replies
12K Views
Angalia huduma za Msingi kama umeme, maji nk ni kero tofauti ni mtangulizi wake. Hivi mnajua kwa Nini Magufuli anapendwa sana mtaani licha ya wizi wa kura au mauaji aliyoyafanya? Ni kama alikuwa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Kinondoni Mh Songoro Mnyonge ametoa amri kwa saluni zinazoofanya Massage , kujisalimisha kwenye ofisi za Halmashauri hiyo kwa lengo la kusajiliwa ili kulipa kodi ya...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Mifano iko mingi sana! Marehemu Sankara wa Burkina Faso alipinduliwa na kuuwawa na aliekiwa Rafikie wa karibu na msiri wake Bless Compaore. Marehemu Patrce Emely Lumumba alipinduliwa na mtu wake...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari! Hali ni mbaya sana. Kama mtumishi wa umma unafika ofisi nyingine ya umma unakutana na urasimu (mizunguko isiyo na ulazima au ucheleweshwaji wa huduma)je, wananchi wanakutana na vizingiti...
1 Reactions
8 Replies
713 Views
Pamoja na kwamba Nchi yetu Ina uhitaji wa mambo mengi ila tuepuke Misaada ya fedheha na inayoshusha heshima ya Nchi. Kuna mengi ya kuomba kusaidiwa ila Misaada ya Vyoo kama hii ya hapa Mbeya...
2 Reactions
7 Replies
399 Views
MBUNGE WA KALIUA MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWA MIAKA MIWILI MADARAKANI Mbunge wa Jimbo la Kaliua, Tabora Mhe. ALOYCE KWEZI amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kabla hatujafika tarehe 01/03/2023 tunaomba tukumbushane juu ya hii siku muhimu ya kuadhimisha miaka miwili ya Rais DK. Samia. 01/03/2023 tunaadhimisha miaka miwili ya Mh Rais na kwa kutaja...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom