Dkt. Wilson Mahera akabidhi ofisi kwa Mkurugenzi mpya wa NEC, Ramadhan Kailima

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dk. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima.

MAHERA akabidhi ofisi.jpg
 
Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera amemkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima kama ishara ya ya kumkabidhi rasmi Ofisi.

Makabidhiano hayo ya ofisi yamefanyika Machi 14,2023 katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma.

MAHERA.jpg
 
Back
Top Bottom