Watanzania wenzangu tufike mahali tufunguke macho yetu na tuchoke na huu upotevu wa matrilioni ya fedha zetu tulizochuma chini ya jua kali na baridi kali.
Kila siku tumekuwa tukisikia habari za...
Habari wakuu wa JF,
Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi...
Halmashauri ni mali ya wananchi na wanamiliki Halmashauri kupitia Baraza la Madiwani.
Halmshauri inasimamiwa moja kwa moja na Madiwani, inasikitisha sana Halmashauri ndipo pesa zinapigwa sana...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amezindua Bodi ya Shirika la Mzinga lililopo Mkoani Morogoro, Shughuli hiyo iliyofanyika Magadu Mess Mkoani Morogoro...
Mh Rais kwanza nikupe pole Kwa kukopa na kuibiwa pesa unazo kopa.
Pia nikupe pole Kwa KUKUSANYA fedha zetu za Kodi alafu mchwa unazitafta(ulisema stupid,Mimi nasema bladifakini).
Mh Rais ukitaka...
Mhe Rais,
Kwanza nikupongeze kwa nia yako ya dhati ya kupambania maslahi ya nchi na watu wake. Umeonyesha utu, ari, na malengo ya dhati ya kuhakikisha mambo yanaenda na kutekelezeka kwa wakati...
Naona Itifaki imezingatiwa.
VP Kwa VP.
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango leo anatarajiwa kumpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius...
Tangu awamu ya tano na sasa ya sita wageni wakubwa wa nchi wamekuwa wanapokelewa Dar na matukio makubwa yanafanyikia magogoni japo mjii mkuu ulishamishiwa Dodoma na serikali yote ikahamia huko...
Leo Taifa la Tanzania litampokea Makamu wa Rais wa Marekani Bi Kamala Harris ambaye atafanya ziara ya siku tatu nchini ikiwa na lengo la kuimarisha Mahusiano baina ya Tanzania na Marekani.
Yapo...
Ripoti za CAG na TAKUKURU zilizowasilishwa mbele ya Rais Mapema leo Machi 29, 2023 zimeonyesha ufisadi mkubwa katika Mashirika Makubwa ya TRC, ATCL na TANESCO, Mhe Rais amesema waondoke swali je...
Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.
Sasa kwasababu Rais ni...
kwanza wale vibaraka na chawa waliokosa kazi mpite mbali na uzi huu,
Kama kuna wananchi ambao wamefanywa kuwa mazwazwa na maiti basi ni hii nchi ya DANGANYIKA, Ufisadi uliokithiri, mfumuko wa...
Tanzania ina ugeni wa Makamu Rais wa Marekani, Kamala Harris ambaye amefika akiwa katika ziara yake ya Nchi kadhaa Barani Afrika, ambapo pia ratiba yake ni kupita yatika mataifa ya Ghana na...
Mheshimiwa Rais kapokea repoti ya CAG na kutoa hotuba kali iliyojaa uchungu na nchi yake.
Mheshimiwa Rais kaitoa hotuba mbele ya serikali yake, Lakini kikubwa mbele ya Wakuu wa Vyombo vya ulinzi...
Jana nilifarijika Sana kuona Rais wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hassan akiwa amesarika na kuona hadharani wale wote wanaotafuna Mali za nchi. Alilazimika mpaka kutumia neno '' Stupid'' katika...
Mama yetu mpendwa samia(Chui Jike) alipoingia madarakani alisema hataki makodi ya dhuluma kama ya mwendazake.
Bwana yule mwendazake, alichota na kuvuna kodi kutoka kwa majizi bila huruma...
Usipomwelewa Rais Samia anaposema "mimi sio vical" utakuwa unakosa vitu vingi sana!Jiulize tu kwamba,mtu asiye na nia njema na Nchi hii,angeweza kudislose ishu ya "over invoicing?"
Kwa mara ya...
Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi.
Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege.
Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.