Hawa ndio Wabunge waliopita bila kupingwa (2020) ambao Mahakama imesema ni batili

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Wabunge waliopita bila kupingwa (2020) na majimbo yao kwenye mabano.

1. Hamis Kigwangalla (Nzega Vijijini)
2. Kassim Majaliwa (Ruangwa)
3. Nape Nnauye (Mtama)
4. Vita Kawawa (Namtumbo)
5. Sagini Abdallah (Butiama)
6. Alexander Mnyeti (Misungwi)
7. January Makamba (Bumbuli)
8. Elias Kwandikwa (Ushetu)
9. Job Ndugai (Kongwa)
10. Ahmed Shabiby (Gairo)
11. Palamagamba Kabudi (Kilosa)
12. Jonas Van Zeeland (Mvomero)
13. Kalogereris Innocent (Morogoro Kusini)
14. Taletale Hamis Shabani (Morogoro Mashariki)
15. Eng. Isaack Kamwelwe (Mlele)
16. Geofrey Pinda (Kavuu)
17. Philipo Mulugo (Songwe)
18. Zedi Jumanne (Bukene).
19. Ridhwani Kikwete (Chalinze)

Wataalamu wa sheria wanasema the law is not retrospective sijui hapa itakuwaje, ngoja waje. Pascal Mayalla

Pia soma > Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba
 
Kupita bila kupingwa si kwamba vyama vingine hawakuweka wagombea au.? Kama ni hvy kosa liko wapi.?
 
Ilikuwaje wakati mwenyekiti wa nec ni jaji? Au yeye ni tofauti na majaji wa mahakama kuu waliotoa hukumu hiyo?!
Hivi hakuna namna ya yeye kuulizwa, kama na yeye ni Jaji, je hili la ubatili alikuwa analifahamu kwa kiasi gani, na alilishughulikia vipi, katika nafasi yake kama Jaji, yaani mlinzi wa sheria za nchi. Anyway Yaache take hivyo hivyo tusije mwaga jozi hadharani Kam yule Muraaaa majuzi tuu.
 
Back
Top Bottom