Sasa unaingia Jamhuri ya Muungano ya Wadanganyika!

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,590
Reaction score
31,133
kwanza wale vibaraka na chawa waliokosa kazi mpite mbali na uzi huu,

Kama kuna wananchi ambao wamefanywa kuwa mazwazwa na maiti basi ni hii nchi ya DANGANYIKA, Ufisadi uliokithiri, mfumuko wa bei, Tozo za holela, madeni makubwa ya Taifa, Mashirika ya serekali kushindwa kujiendesha na kuisababishia hasara serekali

Ila yote hayo bado nchi inazugishwa na sifa za ujinga,warsha,kongamano za hovyo na ulambaji asali

Wananchi Wadanganyika bado hawajastuka mpaka sasa hivi mpaka pale nchi itakuwa imekombwa kila kitu na kubaki ukiwa.

Nchi hii ya DANGANYIKA inaelekea kuuzwa kwa madeni na bado kiongozi mkuu amesikika akisema bado watakopa ili hali deni siyo tishio

FISI-EMU haiwezi kutoka madarakani kwa vikaratasi, WADANGANYIKA Sasa muamke na msidanganywe tena muipinge hii serekali na kuiondoa .

ASALI YA NCHI NI HAKI KWA WOTE.

Nchi ya hovyo
Nchi ya upigaji
viongozi wa hovyo
ufisadi mkubwa kuwahi kutokea kuzidi hata enzi za JK,

IMG_4994.jpg

ASALI NI YA WADANGANYIKA WOTE
 
Yote haya ni kwasababu ya mfumo hovyo wa CCM.

View attachment 2570195

ASALI NI YA WADANGANYIKA WOTE
 
Back
Top Bottom