Ninatarajia IGP Camillus Wambura atatuletea taarifa ya kuwakamata watuhumiwa wote baada ya ripoti ya CAG na matamshi ya Rais Samia

Championship

JF-Expert Member
Aug 7, 2019
5,499
10,538
Mheshiniwa Rais leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na Rais ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.

Sasa kwasababu Rais ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la Polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka mahakamani watuhumiwa wote waliotajwa.
 
Mheshiniwa raisi leo ametueleza uwepo wa watuhumiwa wengi sana kutokana na ripoti ya CAG. Kwa matamshi ya CAG pamoja na raisi ni dhahiri kwamba kuna wahalifu wengi sana.

Sasa kwasababu raisi ni amiri jeshi mkuu basi ninategemea kuona taarifa ya jeshi la polisi kuanza kuwakamata na kuwapeleka mahakamani watuhumiwa wote waliotajwa.
Thubutuuuuu
 
SIO kwa TANZANIA wangekuwa WAPINZANI LABDA LAKINI MAKADA HAITATOKEA KAMWE
 
Kisheria haimhusu ile ripoti. Inapelekwa bungeni kwanza, then kamati za bunge zitachunguza hizo kasoro zilizoibukiwa na CAG ikiwa ni pamoja na kuwaita na kuwahoji wahusika. (Baadhi ya taarifa za CAG huwa haziko sahihi).

Baada ya hapo bunge litapitisha maazimio na kuipa serikali, then serikali ndio inaweza kuchukua hatua (hapo IGP sijui na nani wengine wanaweza kuhusika).

Kwasasa ili hatua zichukuliwe kabla ya ripoti kwenda bungeni basi lazima mamlaka ya uteuzi ihusike. Na obviously huko ni kukurupuka na kutofuata utaratibu.
 
Back
Top Bottom