Habari wana bodi
Kwa siku kadhaa sasa kumekua na hali ya taharuki miongoni mwa watanzania hasa baada ya MCC kisitisha msaada wa zaidi ya trillion moja za kitanzania kwa serikali kutokana na kile...
Serikali Yasema Kusitishwa kwa Baadhi ya Misaada ya Wahisani Hakujaathiri Sekta ya Nishati.
Waziri wa Nishati na Madini Prof Sospeter Muhongo Bungeni tarehe 16 May,2016.
Waziri wa Nishati na...
Mradi wa MCC ulikuwa uwasadie wanavijiji zaidi ya lk 3kupata Umeme,na maji safi ya kunywa na salama,lkn tukaukataa mradi wenyewe kwa kiburi, maajabu ya musa,tumekuja kuomba tujengewe msikiti,na...
Dar es Salaam. Bodi ya Shirika la Changamoto za Millenia (MCC), imefunga rasmi shughuli zake jijini Dar es Salaam Septemba 29, ikiwa ni miezi sita tangu lilipositisha msaada wa fedha kwa Tanzania...
Wewe soma na kama utaki pita hivi!
Mke wa Rais Magufuli, Mwalimu wa Darasa la nne shule ya Msingi mbuyuni, tarehe 24/03/2023 alifanikiwa kutunukiwa tuzo ya heshima ya kimataifa Toledo la...
Naungana na Pandre Kitima,Kwa hulka za Watanzania no way Katiba Mpya itaondoa upigaji au udnganyifu maana watu wale wale ndio watatakiwa kusimamia Sheria..
SoMo la uzalendo na Maadili liwe...
Katika mapokezi ya kumpokea makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris nimeona watoto wawili(2) wa kumpokea kwa maua uwanja wa ndege, lakini nasikitika kusema itifaki haikuzingatia uwakilisho mzuri...
Haya mambo hayatokei kwa bahati mbaya! Rais Samia Suluhu amerudisha sana heshima ya Tanzania kwenye diplomasia na sasa imerejea mahali pake, Serikali ya awamu ya tano ilififisha mahusiano kati ya...
Sijawahi kusikia Rais Samia akioneshwa kukasirishwa sana, na kutumia maneno makali kama alivyotoa wakati akiongelea taarifa ya CAG.
Kuna wakati ukiwa muungwana unaamini kuwa watu wote ni...
Naona nchi imetupiwa fupa tena,kinyang'anyiro kwa watumishi wasio waaminifu ndani ya serikali,
Bila nidhamu ya kazi na matumizi sahihi ya mapato ya ndani, tutasaidwa daima na hakutakuwa na...
Kufuatia maandamano ya baadhi ya wananchi wa Kata ya Msigani, Jimbo la Kibamba Wilayani ya Ubungo jijini Dar es Salaam katika eneo la Mbezi Kibanda cha Mkaa, wakiishinikiza serikali kuwajengea...
Ipo hivi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika ziara zake anazofanya hivi karibuni, alifika Mkoani Simiyu na katika moja ya mikutano yake na Watumishi wa Umma kuna mambo mazito yalizungumzwa...
Mpaka lini sisi tutaendelea kuitwa masikini? Huu umasikini tunaoitwa nao kila leo, sababu yake ni ipi kama sio hii ya wakubwa kuiba mapesa yetu? Ni kweli kabisa sisi ni masikini au ni upumbavu...
Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu.
Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda...
Kuna baadhi ya watu wenye bia mbaya na Serikali ya Rais Samia Suluhu walikua makini kusikia suala la ushoga lakini haijawa hivyo Rais Samia Suluhu hawezi kuruhusu huo upuuzi katika nchi yetu...
Huyu ni Mwenyekiti wa Hkamshauri ya Wilaya ya Iramba - Innocent Msengi. Huyu kama bosi wake Mwigulu alirudia shule ya msingi zaidi ya mara tatu - awali akiitwa Masaganya Zengo - then likaja la...
Akiongea kwa uchungu kufuatia Ripoti ya CAG kuonyesha viongozi wanaiba bila uwoga, Rais Samia amewauliza Wanaiba Fedha za Umma ili ziwasaidie nini? Je, watazikwa nazo? Na siku ya hukumu Mbele ya...
Watanzania wenzangu tufike mahali tufunguke macho yetu na tuchoke na huu upotevu wa matrilioni ya fedha zetu tulizochuma chini ya jua kali na baridi kali.
Kila siku tumekuwa tukisikia habari za...
Habari wakuu wa JF,
Kwa kurejea kichwa cha uzi napendekeza tozo zisitishwe ili kuwaondoloea wananchi ugumu wa maisha. Maana kwa mujibu wa ripoti ya CAG hizo tozo wanazokatwa miaka nenda rudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.