Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakati mashirika mengine ya ndege yakiendelea kupata hasara, ATCL imeripotiwa kutengeneza faida ya $14M tangu kufufuliwa kwake, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya rais Magufuli. ATCL pia imeongeza...
10 Reactions
213 Replies
24K Views
Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Rais Samia amewataka wale waliotajwa na CAG kwamba walikata Withholding tax lakini hawakuziwasilisha TRA wafanye hivyo mara moja Miongoni mwa waliotajwa wamo ACT Wazalendo na Nadhani Hili...
0 Reactions
2 Replies
705 Views
Salute wakuu, mie mpaka leo ninakuna kichwa, ni kitu gani JPM alitumia kuzima maandamano yaliyokuwa yameitishwa na CHADEMA baada ya uchaguzi wa 2015 maarufu kwa jina la UKUTA?, kipindi kile JPM...
6 Reactions
65 Replies
3K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Mhe. Andrey Levonovich Avetisyan ambapo katika mazungumzo...
1 Reactions
4 Replies
448 Views
Heshima Kwenu wakuu, Leo nmeamua kuwaletea update kutoka kwenye mkutano wa aliyekuwa Waziri wa Michezo wa awamu ya tano Nape Nnauye. Karibuni. ======= UPDATES; ======= 13:08hrs: Nipo hapa...
98 Reactions
2K Replies
254K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameunda Kamati kwa ajili ya kutathmini utendaji kazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ili kuiwezesha...
3 Reactions
88 Replies
6K Views
hamjambo? Nimeona li-viete limoja linazunguka kugawa vizibao(reflector) zilizoandikwa “nani kama yule” , #anaupiga mwingi, #sisi na bibi. Nimekutana nalo mara 2 nkiwa ndani ya bajaji na nahisi...
3 Reactions
7 Replies
671 Views
Habari JF, Mimi kama mtanzania wa hali ya chini nimekuwa nikifuatilia namna wananchi tunavyolipa kodi na Tozo mbali mbali lakini kuna mikopo mikubwa sana tumechukua ndani ya kipindi kifupi. Kila...
14 Reactions
144 Replies
6K Views
Kwa sasa ni rasmi kuwa ukitaka Kumlipia Mwanao Bima yake ya Afya kwa Mwezi ni Tsh 160,000/ na ya Familia ni Tsh 600,000 huna hizo Pesa ukiugua subiria tu Kufa na tukakuzike. Hivyo basi...
37 Reactions
103 Replies
6K Views
Kwa kweli sasa maisha yamekuwa mazuri na mama amefungua sana Ikulu na Nchi ujumla. Natembea barabarani na mwona na Mbowe naye kwenye mabango. Hii isingewezekana awamu ya Tano. Mbowe ashukuru...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa na meneja wa shamba, Ahmed Al Mansour. wakati wa msafara wa kukagua na kujifunza kuhusu mradi huo wa shamba la ng'ombe. Picha na Ibrahim Bakari Ukiingia kwa gari...
0 Reactions
35 Replies
16K Views
Rais wa nchi hii ni Mwenyekiti wa CCM, chama kinachodaiwa kuwa na wanachama wengi zaidi miongoni mwa vyama vya siasa vilivyomo kwenye daftari la msajili , huku Rais wetu ambaye ni mzalendo namba...
16 Reactions
76 Replies
49K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema ), kimeanza ziara za kimya kimya za kutembelea vijiji vyote vilivyotelekezwa na serikali ya ccm tangu mwaka 1961 . Kwa kuanzia , Bavicha imevuka milima...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika libarikiwe sana tumbo lililombeba mama Samia, lilibeba mtoto aliyekuja kuwa kiongozi wa Tanzania, kiongozi mwenye upendo, hekima, busara, ukarimu, huruma...
12 Reactions
116 Replies
4K Views
Ikumbukwe kuwa haikuwa nia ya Dr Slaa kugombea uRais mwaka 2010 bali aliombwa na Mbowe ili kuongeza ushawishi wa kura za majimboni kwa minajiri ya kutengeneza ruzuku kubwa Ikumbukwe hapa Rais...
10 Reactions
32 Replies
2K Views
Inasikitisha sana,sana sanaaa jinsi hili shirika linatia aibu kwa Dunia hii ambayo hata Rwanda waliokuwa na ndege 1 sasa hivi wametupiga gap. Nina imani nchi kama zambia na burundi zitatupiku...
1 Reactions
5 Replies
644 Views
Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage! Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliyekunokolea kipindi...
12 Reactions
72 Replies
7K Views
Rais Samia anesema kwenye Viwango vya Siasa na Demokrasia vya Kimataifa hatujafanya vizuri hivyo tumeshuka chini Source TBC ======= Akizungumza baada ya kupokea Ripoti ya CAG na TAKUKURU...
1 Reactions
7 Replies
708 Views
Back
Top Bottom