Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hili lilikuwa letu. Hili halikuwa la Samia, Majaliwa wala Kadogosa. Wenye nchi tulikuwa sisi. Tena si wa wakulalama. Bali kuwafurusha wote na kuwataka kurejesha vilivyo vyetu na viboko juu...
0 Reactions
0 Replies
309 Views
Mheshimiwa Rais, ripoti ya jana uliyoipokea imebeba maudhi mengi sana dhidi ya serikali unayoiongoza na Taifa. Kama wasaidizi wako hawajakudokeza basi pokea taarifa kuwa upo ukaribu usio wa...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana amesema ni wakati wa Serikali kuchukua hatua dhidi ya watu waliokutwa wameenda kinyume na maadili katika Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu...
12 Reactions
56 Replies
4K Views
"Deni la Serikali kufikia June 30,2022 lilikuwa Tsh. Trilioni 71.31 ikilinganishwa na Tsh. Trilioni 64.52 lililoripotiwa kwa mwaka wa fedha 2020/2021 kuna ongezeko la Trilioni 6.79 sawa na 10.5%...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari JF , Hivi unamkamuaje wananchi kwa Tozo na kodi lukuki katika Nchi ambayo ina Eneo kubwa la kilimo na Uwekezaji, Madini ya kila aina, Gesi, Vivutio vya Utalii vingi na vitu vingi ambavyo...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
TTCL kutumia Sh44 bilioni kusambaza intaneti Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linatarajia kutumia Sh44.7 bilioni kusambaza intaneti ya kasi kubwa hadi majumbani kupitia huduma mpya iitwayo...
11 Reactions
154 Replies
17K Views
Waziri wa katiba na sheria amesema katika mambo ambayo wamarekani wamewataka kutunga sheria ni kuhusu swala la ushoga na ndoa za jinsia moja lakini wamewakatalia kwenye mkutano uliohusu haki za...
13 Reactions
89 Replies
11K Views
Great Thinkers, Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo...
6 Reactions
26 Replies
1K Views
Siku zote kazi nzuri inajitangaza, Hayati JPM hayupo lakini kila siku anatangazwa, anatangazwa kwa sababu ya kazi zake ambazo ni alama. Huwezi mdanganya hata Mtanzania wa chini kabisa kumuhusu...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Siasa ni mtazamo tu,lakini inawezekana kuyapeleka mambo yako utakavyo.Jambo la kuzingatia tu ni kutokuvunja sheria za nchi. Ukifanya hivi utakua umejijengea kisiwa chako na kuishi huru.
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Kama bandiko linavyojieleza kumswaga mwizi kama kuku nikumuongezea umakini wa kuiba Niwazi kuwa wote tumesikia masikitiko ya mama dhidi ya madudu yaliyo ibuliwa kwenye lipoti ya mkaguzi w hesabu...
0 Reactions
0 Replies
414 Views
Kiukweli hali kama ndio hii basi inatisha kwa sababu kila kona ni Upigaji yaani plea bargaining ni cha mtoto Mchungaji Msigwa unapendekeza nini kifanyike sasa? Ramadhan kareem! cc: Mchungaji...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Mbona mnakuwa kama watoto wadogo? Mmesahau namna sakata la Escrow lilivyowekwa wazi? Tuliambiwa pesa namna zilivyo kwapuliwa na hata zilikofichwa. Vivyohivyo hata sakata la Kagoda na Epa...
13 Reactions
115 Replies
5K Views
Machozi ya waitara,ubabe wa Julius Marwa Tarime - Mara Bila shaka yanayoendelea mkoani mara wilayani tarime kata ya nanyungu si ya kuachwa na kutazamwa yapite bali...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimemkumbuka Mzee wetu Prof Assad. Nimekumbuka alivyoondolewa madarakani kwa mabavu, nimekumbuka ile IST yake siku anaondoka ofisini. Nimekumbuka pia kwamba RIPOTI YA CAG ilikuwa inaogopwa na...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
TANZANIA SIO MALI YA MAGUFULI. Kwanini wateule wengi wa rais wakitoa maagizo au kukemea jambo hasa rushwa wanasema "serikali ya Magufuli haitaki wizi" au " wizi sio wakati wake huu" au "pesa ya...
22 Reactions
72 Replies
7K Views
Salute, binadamu kwa asili tunapenda kulipa fadhila, yeyote aliyewahi kukutendea wema, ni lazima umlipe wema, hata kama wewe ni hakimu ni vigumu sana kumfunga mtu aliyekupa rushwa, Ukitaka ujue...
0 Reactions
1 Replies
469 Views
Wakati mashirika mengine ya ndege yakiendelea kupata hasara, ATCL imeripotiwa kutengeneza faida ya $14M tangu kufufuliwa kwake, hii ni kwa mujibu wa taarifa ya rais Magufuli. ATCL pia imeongeza...
10 Reactions
213 Replies
24K Views
Mihula mitatu ya uongozi wa mwanamama shupavu aliyekuwa Waziri mkuu wa Uingereza Magareth Thatcher kutoka 1979-1990 ilihitimishwa kwa mabadiliko makubwa nchini Uingereza. Ni misimamo yake mikali...
3 Reactions
26 Replies
1K Views
Back
Top Bottom