Nimedokezwa kuwa aliyepata tenda ya kuiuzia serikali vishikwambi vya sensa na walimu amepiga kama bil 10 faida ya pesa chafu.
Ripogi ya CAG imetupatia jibu sahihi kuwa kumbe pesa za umma...
Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk...
Salaam nyote Wana Jamii forums
Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 4 April 2023, ni Bunge la bajeti mambo mengi yatajadiliwa zikiwemo ripoti 16 za kamati za Bunge, Aidha...
Baada ya Mapinduzi (matukufu?) ya Zanzibar Mwaka 1964, chama cha ASP kikapiga marufuku vyama vingine vya siasa na kuharamisha viongozi wake. Ukiwa Zanzibar ilikuwa ama uwe ASP au uwe adui wa...
Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndio maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo.
Hata kwenye Kampeni 2025 tutaiponda tutakuwa...
Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.
Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania...
Wajuzi na watabiri wa mambo naombeni mnisaidie itachukua miaka mingapi nchi yetu ijiendeshe yenyewe.
Ni aibu kwa taifa lilopata Uhuru zaidi ya miaka sitini tunaagiza chumvi,sukari na mchele n.k...
Katibu wa Kanda ya Kusini , Mh Kaduma ameendelea na ziara ya kuimarisha chama chake , kwa kufanya makongamano na vikao vya ndani.
Hapa ni Mbinga
Na hapa ni Namtumbo
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema amesema wote tumeshtushwa na Wizi mkubwa ulioainishwa na CAG Katika Ripoti yake hivyo inatupasa tupaze Sauti zetu
Kelele zetu Katika...
Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Wizara inakaribisha Wadau kushiriki katika Shughuli za Utamaduni, Sanaa na Michezo ikiwemo matamasha, ligi za michezo...
Kutokana na ujio wa Makamu wa Rais wa Marekani amesema Kampunu ya IRVINE itawekeza Tsh Bilioni 74.8 kwenye ufugaji wa kuku nchini
Uwekezaji huu utawezesha kuhakikishwa kwa Usalama wa Chakula...
Nasema kwakuwa najua na nimekitumikia ninachokisema. Nimekuwa kiongozi kwenye vyombo vya ulinzi; chamani na serikalini. Najua kuwa yapo mambo ya kusemwa hadharani na yale ya kuhifadhiwa na...
Hapa narejea nukuu ya Mwalimu Nyerere kwamba ujinga ni kipaji kama ufupi na urefu. Ni kama aina fulani ya unyumbu wa kurithi.
Sijaona mashekhe wakiandamana kupinga ripoti ya CAG iliyosheheni...
Mambo ya Hovyo Kabisa, hao Polisi wa Chato wana mambo meusi sana.
Kuna uyo Mmoja anaitwa anakuaga amelewa mpaka muda wa Kazi, anatesa sanaa mahabusu, anawavuaga nguo wanabaki uchi anawapiga kama...
Kisa cha Wakili Farah Maalim Mohammed na kielelezo cha makuu ya Tanzania.
#Zimesambaa video za Naibu Spika wa zamani wa Bunge la Kenya na Mbunge wa sasa wa jimbo la Dabaab Nchini Kenya Mh. wakili...
Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha.
Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea...
Mradi wa kuimarisha ubora wa elimu ya sekondari kwa njia mbadala (SEQUIP) umefanikiwa kusajili wasichana 3,616 kwa mwaka 2023 na 3,333 kwa mwaka 2022 wenye umri kati ya miaka 13 hadi 21...
Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani aliipa sekta ya afya kipaumbele maana anajua afya ndio msingi wa Maendeleo hivyo amejenga na kuboresha vituo vya afya maana aliahidi kusogeza huduma ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, Ikulu Dar es salaam leo Machi 30, 2023
Rais Samia ameishukuru Serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.