Nashauri Serikali ya Awamu ya 6 tuiache ifanye kazi. Maana katika Mikutano yetu tutaikosoa Awamu ya 5

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,745
Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndio maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo.

Hata kwenye Kampeni 2025 tutaiponda tutakuwa tunashindana na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo haipo kuliko ya Awamu ya 6 ambayo ipo. Sababu ya Awamu ya 6 haina tatizo nasi. Tunaenda nayo vizuri tu. So why tupambane nayo? Si sawa wajameni.

Tukiwa kwenye mijadala ya kisiasa asilimia 80 ya lawama na mijadala ni Magufuli hivi, Magufuli Vile. He is no longer breathing. He is no longer in action. Well, alitukosea na kutukosesha mambo kadhaa wa kadhaa.

Lakini kwa serikali hii mimi sioni makosa yake kwetu. Maana tumekuwa included kwenye mgawanyo. So kelele tena zitoke wapi jamani? Tuwe na shukrani kwa hiki tunachopata. Tukumbuke kwa Magufuli hatukupata kitu kabisa.
 
Mpaka sasa hatuna cha kukosoa Serikali ya Awamu ya 6. Ndo maana ukija kwenye mikutano yetu tunaizungumzia zaidi serikali ya awamu ya 5 ambayo haipo.
Ni kweli, hakuna ukosoaji wa serikali ya awamu ya 6 kwasababu its perfect, hakuna cha kukosea!.
Hata kwenye Kampen 2025 tutaiponda tutakuwa tunashindana na Serikali ya Awamu ya 5 ambayo haipo kuliko ya Awamu ya 6 ambayo ipo. Sababu ya Awamu ya 6 haina tatizo nasi. Tunaenda nayo vizuri tu. So why tupambane nayo? Si sawa wajameni.
Sawa kabisa...
Tukiwa kwenye mijadala ya kisiasa asilimia 80 ya lawama na mijadala ni Magufuli hivi, Magufuli Vile. He is no longer breathing. He is no longer in action. Well, alitukosea na kutukosesha mambo kadhaa wa kadhaa.
Wengi hawajui kuwa kabla hatatwaliwa, alitubu dhambi zake, akasamehewa na sasa yuko mbinguni kwa Baba yake https://www.jamiiforums.com/threads...kumsimanga-aachwe-apumzike-kwa-amani.2001406/
Lakini kwa serikali hii mimi sioni makosa yake kwetu. Maana tumekuwa included kwenye mgawanyo. So kelele tena zitoke wapi jamani? Tuwe na shukrani kwa hiki tunachopata. Tukumbuke kwa Magufuli hatukupata kitu kabisa.
Naunga mkono hoja tena ukiwa na shukrani kwa kidogo, utabarikiwa kikubwa.
P
 
Ndilo la muhimu sana Serikali ya mama sikivu sana Mbowe kashautangazia umma na kauli cha chair ni kauli ya chama, kwanzia Sasa ni mapambano na Serikali ya awamu ya 5 tutapambana sana isirudi Tena madarakani, makamanda tumeshakubaliana.
 
Kuna wanasiasa na wananchi wa kawaida, kwani huko mtaani wananchi wa kawaida wao maoni yao ni yapi?
 
Ndilo la muhimu sana Serikali ya mama sikivu sana Mbowe kashautangazia umma na kauli cha chair ni kauli ya chama, kwanzia Sasa ni mapambano na Serikali ya awamu ya 5 tutapambana sana isirudi Tena madarakani,makamanda tumeshakubaliana.
Inamaana katika serikali ya wamu ya 6 hakuna madudu? Kama hayapo tuambiane tuelewe.kama issue ilikuwa mikutano ya hadhara tu basi lkn sijajua ktk mikutano hiyo tutaongelea illusions? Ya kale yamepita sasa tunaganga yajayo.
 
Watu bado wanahasira na Magufuli kuliko hayo madudu ya awamu ya 6.
 
We unaonaje alitengeneza urafiki nao hao mafisadi?
Alikuwa anachagua na kubagua mafisadi wapi wakujenga nao urafiki Kwa sababu yeye alikuwa kinara wa wizi, ukwapuaji, uporaji na ufisadi. Alikuwa the greatest thief of all
 
Ndilo la muhimu sana Serikali ya mama sikivu sana Mbowe kashautangazia umma na kauli cha chair ni kauli ya chama, kwanzia Sasa ni mapambano na Serikali ya awamu ya 5 tutapambana sana isirudi Tena madarakani, makamanda tumeshakubaliana.
😂
 
Alikuwa anachagua na kubagua mafisadi wapi wakujenga nao urafiki Kwa sababu yeye alikuwa kinara wa wizi, ukwapuaji, uporaji na ufisadi. Alikuwa the greatest thief of all
Kwahiyo ulitaka asifanye ubaguzi kwa hao mafisadi na kuwafanya wote kuwa marafiki ili aonekane rais dhaifu kama alivyoonekana Kikwete na anavyoonekana sasa Samia?
 
Back
Top Bottom