Bunge lisaidie taifa na minyororo ya mafisadi

Deogratias Mutungi

Senior Member
Oct 1, 2019
136
178
Salaam nyote Wana Jamii forums

Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 4 April 2023, ni Bunge la bajeti mambo mengi yatajadiliwa zikiwemo ripoti 16 za kamati za Bunge, Aidha ripoti ya CAG itawasilishwa Bungeni na Kujadiliwa.

Ombi langu kwenu wabunge tafadhari kwenye ripori ya CAG, pitieni ukurasa Kwa ukurasa, nukta Kwa nukta kubaini madudu yote yaliyoibuliwa na ofisi ya CAG, toeni mapendekezo na hatua Kali dhidi ya wezi hawa na mafisadi waliowafunga Watanzania na minyororo ya kutafuna nchi na kudumaza maendeleo ya nchi, Bunge msaidie Rais Samia dhidi ya wanyanganyi hawa, Sheria zipo wazi, wezi hawa wawajibishwe bila kuangaliwa usoni, haiwezekani kundi la Watanzania Wachache waishi kama wafalme Kwa mgongo wa Watanzania maskini.

Bunge ni jumba lenye heshima yake, tumieni mamlaka mliyopewa Kwa mujibu wa Sheria kuwa wajibisha mafisadi wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, Watanzania wanamaumivu wasaidieni tafadhari.
Nawasilisha.
 
BUNGE HILI HILI LA RANGI YA KIJANI?MARA NGAPI RIPOTI YA CAG INAWATAJA MAFISADI NA BUNGE HALIIBANI SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA ZA KISHERIA? KUMBUKA WAHUSIKA NI KIJANI WENZAO HIVYO WANALINDANA HATA HII RIPOTI YA CAG ITAPITA KAMA HAINA UFISADI
CCM OYEER
 
Ndio maana bunge lenye uwakilishi mchanganyiko na wanaojitambua ni muhimu. Ripoti CAG Sh bil 88 za mikopo halmashauri hazipo ni hatari
 
Salaam nyote Wana Jamii forums

Mkutano wa Kumi na Moja wa Bunge unatarajiwa kuanza tarehe 4 April 2023, ni Bunge la bajeti mambo mengi yatajadiliwa zikiwemo ripoti 16 za kamati za Bunge, Aidha ripoti ya CAG itawasilishwa Bungeni na Kujadiliwa.

Ombi langu kwenu wabunge tafadhari kwenye ripori ya CAG, pitieni ukurasa Kwa ukurasa, nukta Kwa nukta kubaini madudu yote yaliyoibuliwa na ofisi ya CAG, toeni mapendekezo na hatua Kali dhidi ya wezi hawa na mafisadi waliowafunga Watanzania na minyororo ya kutafuna nchi na kudumaza maendeleo ya nchi, Bunge msaidie Rais Samia dhidi ya wanyanganyi hawa, Sheria zipo wazi, wezi hawa wawajibishwe bila kuangaliwa usoni, haiwezekani kundi la Watanzania Wachache waishi kama wafalme Kwa mgongo wa Watanzania maskini.

Bunge ni jumba lenye heshima yake, tumieni mamlaka mliyopewa Kwa mujibu wa Sheria kuwa wajibisha mafisadi wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG, Watanzania wanamaumivu wasaidieni tafadhari.
Nawasilisha.
Labda bunge la China!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom