Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kabla ya kuvunja TTCL serikali ingefanya haya kwanza. Kuhakikisha zoezi la kampuni zote za simu zinauza hisa Kwa wananchi kama ambavyo sheria inataka na iwapo wananchi wakishindwa kununua hisa...
27 Reactions
89 Replies
5K Views
Waliokuwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha St Augustine Mwanza wameshinda kesi dhidi ya Bodi ya wadhamini ya chuo hicho baada ya kupigania haki kwa miaka 12 na Mahakama kuamuru walipwe fidia ya Sh30...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Aliyewahi Kuwa mbunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge PAC mh Zitto Kabwe amesema DPP Biswalo alianza kukusanya Fedha za Plea bargain Kabla Sheria haijatungwa Bunge la akina Zitto Kabwe Ndio...
6 Reactions
48 Replies
3K Views
Well... Tunashukuru vyanzo vyetu vya "kuaminika" once again.. we set the standard! On Technicality? Habari Leo WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe...
0 Reactions
529 Replies
49K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema jana alipata bahati ya kukutana na Rais Samia baada ya kualikwa kwenye ftari aliyomwandalia VP wa USA Kamala Harris Mbowe amesema kupitia ukurasa wake wa...
8 Reactions
59 Replies
4K Views
Hii wanaijua vizuri wakandarasi na watoa huduma serikalini. JPM aligoma kuwalipa kwa kisingizio Cha uhakiki, kwa miaka mitano alivyokuwa madarakani hakuwalipa, watu wakafilisika, benki zikauza...
12 Reactions
46 Replies
3K Views
Hakika inashangaza sana kuona kuna Watu ndani ya NCHI wanaonekana Wao ndio kila kitu.Kuna MAWAZIRI kila BARAZA la MAWAZIRI linapotangazwa au kufanyiwa Marekebisho Madogo WAO lazima YAWAKUMBE. Kwa...
2 Reactions
7 Replies
703 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, ameongoza Kikao Maalum cha kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa leo tarehe 01...
7 Reactions
29 Replies
3K Views
Namuona Jenista Mhagama na Mama Samia wakituletea uongozi wa juu kama ule wa Jamhuri ya Barbados au Simbachawene anaweza kuingia hapo kwa Majaliwa tuwatulize wagogo. Hii ripoti ya CAG Kasimu...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanabodi Jana nilibahatika kufuatilia mkutano wa Rais Magufuli uliofuta kikokotoo kipya na kurejesha cha zamani. Taarifa ya Waziri Mhagama ilieleza uamuzi wa kikokotoo kipya ni kufuatia actuarial...
21 Reactions
209 Replies
26K Views
Wahenga walisema kuwa lisemwalo lipo. Kuna vijana ambao waliamini kuwa kuteuliwa kwa kushika madaraka miaka ya 2015 mpaka 2021 walijiona kama miungu ya duniani. Lkn Mungu hakuwa upande wao kwani...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi imefika hatua kweli nafasi moja inagombaniwa na watu zaidi ya mia moja? Leo nimeenda kufanya interview ya kufundisha hesabu shule inaotwa st James English medium IPO banana kitunda Cha ajabu...
18 Reactions
74 Replies
3K Views
Ndugu zangu watanzania, Kutokana na uchapa kazi wa Rais Samia ,juhudi zake katika kuimarisha uchumi,demokrasia ,kuvutia wawekezaji,wafanyabiashara, kukuza na kujenga uchumi jumuishi, kujenga na...
0 Reactions
104 Replies
4K Views
Nchi inahitaji kuwa na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi, toka miaka ya sitini mpaka Sasa nchi hii haijawahi ongozwa na chama kingine zaidi ya CCM. Nchi ina mfumo wa vyama vingi vya...
2 Reactions
3 Replies
856 Views
Tunafurahi kwa diplomasia nzuri ya kufungua nchi kwa dunia. Jitihada kubwa inayofanywa na mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kurejesha mahusiano na mataifa mbalimbali hususani ya...
16 Reactions
160 Replies
12K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye magari machache lakini ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kwa idadi ya vifo vinavyosababishwa na ajali za barabarani. Nchi nyingine, ukiwa kiongozi, unatakiwa...
2 Reactions
8 Replies
766 Views
Wanabodi, Naomba kuanza na angalizo: Ukosoaji wowote, utaofanywa kwa kinachofanywa na serikali yetu, kama unatolewa in good faith, kwa nia ya kujenga na sio kubomoa, ukosoaji huu ukatoa ushauri...
9 Reactions
135 Replies
22K Views
Tumesikia kiasi kikubwa cha fedha zilizotengwa kwa vijana, walemavu na wanawake zikiwa zimetafunwa ktka halmashauri, na hili limekuwa likifanyika waziwazi kwa makada wa chama kukopeshana kwa...
1 Reactions
0 Replies
385 Views
MAGUFULI LIPA KISASI IKIBIDI, HISTORIA NI MWALIMU MZURI; ITAKULINDA.! By Malisa GJ, Leo nataka niwafundishe kidogo kuhusu historia na umuhimu wake. Katika historia ya Kanisa kuna maPapa waliwahi...
13 Reactions
116 Replies
19K Views
Back
Top Bottom