STEPHEN BYABATO NAIBU WAZIRI WA NISHATI AZINDUA MPANGO WA MIAKA MINNE WA MASUALA YA JINSIA WA TANESCO
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amezindua Mpango wa miaka minne wa masuala wa...
Hii ilikuwa interview ikisikilizwa duniani kuhusu ujio wa makamu wa rais wa Marekani:
Ama kwa hakika shughuli ipo.
Labda itabidi kuomba mwongozo kufahamu ni sehemu ipi kama ipo tunayofanya...
Wabunge 19 wasio na chama na Wabunge 18 waliopita bila kupingwa.
Ibara ya 66; Kutakuwa na aina zifuatazo za wabunge,
1. Wabunge wa kuchaguliwa majimboni.
2. Wabunge wanawake wa viti maalumu.
3...
Tunakumbushana tu Makamu wa Rais wa Marekani ameondoka hivyo sasa tunaweza kuendelea na mjadala mkuu wa Hoja za CAG na Ripoti yake.
1. Nani waliongeza cha juu kwenye ununuzi wa Ndege?
2. Nani...
Tundu Lissu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo...
Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa...
MBUNGE MHE. TIMOTHEO MNZAVA AJIKITA KUTATUA KERO ZA WANANCHI WA KOROGWE VIJIJINI
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Mhe. Timotheo...
Vitendawili vya fedha za plea burgain na fedha zilizotokana na kufungwa au kukwapuliwa huko kwenye maduka ya kubadilisha fedha bado kuteguliwa ingawa zile za Biswalo walau GAG amenusa.
Fedha...
Kila jambo linapotokea kwenye mwelekeo wa maisha ya mtu, kawaida huwa linaleta fundisho la mbele yake ya safari.
Elimu ya maisha wakati mwingine huhusisha pia, misukosuko, kufiwa n .k hii yote...
Mliojidai kuua legacy ya Magufuli mpo? Ukosefu wenu wa akili umesababisha mlie kila mnapoiona legacy ikimeremeta.
[emoji116]
Morogoro. Kina cha maji katika Bwawa la Kufua Umeme la Julius Nyerere...
Ushirikishwaji wa wananchi ni mchakato wa kuwahusisha na kuwashirikisha wananchi moja kwa moja katika maamuzi ya serikali na mipango ya maendeleo. Hapa kuna baadhi ya faida za ushirikishwaji wa...
RIDHIWANI AELEKEZA BARUA ZA MASUALA YA KIUTUMISHI KUJIBIWA KWA WAKATI KUEPUKA MALALAMIKO YASIYO YA LAZIMA
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe...
MPANGO KABAMBE; TAIFA LITAMBE!
Anaandika, Robert Heriel
Mastermind
Ilisemwa taifa ili liendelee linahitaji mambo makuu manne,
i) Watu
ii) Ardhi
iii) Siasa Safi
iv) Uongozi Bora.
Hayo yalikuwa...
Kuhusu deni la serikali muhimu zaidi ni Elimu kulihusu ili kutoa dhana kwamba serikali huwa inakopa ili kununua V8. Well Kimsingi kabisa deni la serikali hutokana na maeneo makuu 3 ambayo ni.
1...
Ni mara ngapi tumeona clip na picha zikionesha wakulima wakilia kwa kukosa masoko ya mazao yao.
*Tushaona nyanya zinauzwa debe sh 500/= na parachichi zikioza huko Iringa.
*Tushaona mahindi...
Kilichoandikwa hapa ni mawazo binafsi haina uhusiano na siasa wala haiwakilishi upande wowote/kundi la watu!
Tanzania tunaelekea milioni 60 kwa makadilio (sensa itajibu ufasaha). Lakini katika...
Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba.
---
Jana nilimsikia anafoka ati "stupid" huku anazungumza kwa lugha nyororo ambayo hata panya hashtuki wala kutetereka.
Wakati anaingia madarakani, kwa kutumia hekima zake na uungwana wake, alianza...
Tumesikia repoti ya Mdhibiti na Mkaguzu Mkuu wa serikali (CAG) ilivyoweka wazi ubadhirifu wa matrilioni ya fedha za watanzania. Inasikitisha kuona jinsi fedha za maskini wa nchi hii zikitumika...
Tumesikia madudu ya kutisha, kama yalivyobainishwa na CAG, namna watanzania wenzetu, wasio na uzalendo hata kidogo, namna wanavyotafuna fedha zetu za Umma bila woga, Kwa kutuibia mabilioni ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.