Picha hii inasema sana kuhusu siku zijazo kwa siasa na uongozi wa Tanzania

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,802
18,528
Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.

Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi.

Mwanga utajadiliana na giza, na demokrasia itang’ara zaidi kuliko uhafidhina. Wasiopenda demokrasia wataachwa nyuma na hawatakuwa na marafiki, watafifia na kusahaulika.

Angalia, atakayetuongoza miguu yake imetangulia wengine, kavaa kama askari wa demokrasia, anajua siasa si uadui.

Alivyosimama, anaonekana ni mwamba anayewategemeza wengine. Anasikiliza hekima za watangulizi wake kwa unyenyekevu, ataongeza na hekima zake mwenyewe na atatuvusha! Mungu ibariki Tanzania na watu wake.

1680283123123.jpeg
 
Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndio huko picha hii inavyotueleza. Yaliyopita pia yameoneshwa kwenye background ya picha hii. Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano, Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi. Demokrasia itang’ara zaidi kuliko uhafidhina. Wasiopenda demokrasia wataachwa nyuma na hawatakuwa na marafiki. Mungu ibariki Tanzania na watu wake.View attachment 2572370
Achana na game ya watoto wa mjini Mzee. Hapa ndio ngosha alipochemkia na ndio Ruto huko Kenya kinamsumbua. Politicians they're cousin
 
Back
Top Bottom