Nani alikwambia ukiwa Rais au high level position Kuna mashost na marafiki?

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
6,193
11,225
Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk uongozi wake?
Kama unafikiri unapenda mashost na marafiki acha kuwaza kuwa kiongozi wakitaifa maana hamna kitu kama hicho.
Rais au viongozi wakuu ktk taasisi nyeti za kitaifa wanalindwa na jamuhuri na jamuhuri mara zote Haina rafiki Ila ina kazi moja kulinda jamuhuri na wakuu wa jamuhuri tafakari anapotokea inzi au mbu anamgusa mtu wa jamuhuri inakuwaje?

Usipende sana kuwa rafiki na viongozi be careful maana kwao wewe ni inzi na unajuwa dawa ya inzi. End
 
Back
Top Bottom