Lile neno stupid kwenye nchi zilizostaarabika lilipaswa kuambatana na barua yakuomba kukaa pembeni Kwa watu wafuatao;
1. Waziri mwenye dhamana na sekta ya usafiri kwa Tanzania Makame Mbarawa.
2...
Hii ndio taarifa mpya iliyopatikana jana usiku, kwamba Mzee Isdory Shirima aliyewahi kuwa Mkuu wa Mikoa kadhaa nchini amefariki Dunia.
Hakuna taarifa zaidi za matanga, Ugonjwa uliopelekea kifo...
Bila kujali Itikadi na kuwa mkweli mfumo wa kuteua Makada wa CCM kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri DED ulianzishwa na Shujaa MagufulI.
Hata Shirika nyeti la TTCL alipelekwa kada wa CCM aliyefeli...
Kwa watanzania wengi almost 98% wanauona mwezi wa 03 kama mwezi wa Baraka kwa nchi yao , sifahamu kisa hasa cha kuupa hadhi hiyo mwezi huo,
Bali kwa kufuata tu mkumbo hata mimi kama Mtanzania...
Kumekucha!
Steven Wasira,mmoja wa wadaiwa sugu wa mfuko wa Commodity Import Support amesema hatalipa deni hilo kamwe na kwamba yeye si mmoja wa wadaiwa wa mabilioni hayo.
Wasira ambaye anakiri...
Ni uonevu mkubwa ikiwa TTCL itaondolewa katika biashara wakati inalazimishwa kupandisha bei ya bidhaa zake ili zilingane na washindani wake.
Iwapo TTCL itaachwa ifanye kazi kibiashara hakuna...
Baba wa Watu ameshalala tokea mwaka Juzi (2021) lakini cha Kushangaza (tena ukiwa Mtoto wa Kiume) Wewe kila Siku ni Kumsengenya mara Kumfumbia Mafumbo tabia ambazo tumezoea kuona zikifanya na Dada...
Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku...
Ukiwa na maumivu ya CAG juu ya wizi na ufisadi ambao haujawahi kutokea nchii hii.
Million 622 hazijulikani zilipo kwenye halmashauri moja apo kusini mwa Tanzania. Hiyo imebainishwa na kamati ya...
Wakati akiwa makamu mkuu wa chuo SAUT Fr. Kitima aliwalela na kuwaingiza kwenye ajira vijana aliowaamini ambao walikuja kutengeneza mchongo wa kuiba ada huku wakitoa risiti bandia za chuo. Mchongo...
Wanabodi
Jumapili ya leo, ni March 26, 2023, nimepata tena fursa ya kuja na makala nyingine ya kwa maslahi ya taifa.
Mabandiko mengi humu JF ni mabandiko kuhusu habari na matukio "news and...
TRA wakishirikiana na maafisa wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwahuhujumu wafanya biashara wadogo wa wilaya ya Songwe wamekuwa wakiwafungia biashara zao hasa mama na kuwalazimisha walipie sh...
Ilikuwa leo katika ibada maalum ya kumuaga Marehemu askofu wa Jimbo kuu la wakatoliki Mbeya iliyofanyika Makao makuu ya baraza la maaskofu Tanzania Kurasini jijini DSM.
Alipopata fursa ya kutoa...
Nimedokezwa kuwa aliyepata tenda ya kuiuzia serikali vishikwambi vya sensa na walimu amepiga kama bil 10 faida ya pesa chafu.
Ripogi ya CAG imetupatia jibu sahihi kuwa kumbe pesa za umma...
Kuna watu wanadhani ukiwa kiongozi wakitaifa utaendelea kuwa na mashost na marafiki... If Kuna kiongozi anadhani anaweza kuwa na mashost na marafiki ktk kuwa kiongozi basi anachimba shimo refu ktk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.